Mtanzania auawa Kenya kwa kunyongwa!

Mtanzania auawa Kenya kwa kunyongwa!

8844766_orig.jpg


RIP mdogo wangu!
binadamu wamekuwa na roho mbaya sana waaaaaaiiiiiiii??

.. Rest in peace - kijana Jerry
 
Seriously USIU hakufai mbali ya matukio ya kunyongwa kutekwa kuibiwa ni kawaida. Watz kuweni makini sana
 
Kenya na mambo yake tena, hii inanikumbusha sakata lile la bi Mercy Chepkosgei Keino, mwanafunzi wa University of Nairobi. Lazima kuna mkasa mkubwa nyuma hili. Tusubiri tuone.

R.I.P Jerry.
 
Ohh kumbe ni huyu kijana. Seems soo bright and a great future ahead of him. RIP young man. Mungu uwape faraja ndugu na wazazi wake. So saaad jamani.
 
In short Jerry Isaac Mruma was a upcomming billionair katika ardhi ya Kenya...

Kijana mdogo tu amezaliwa mwaka 90 but was a very bright Guy.. Kilichotokea najua ni wivu tu wa wakenya kuona kijana mdogo wa kitanzania akifanikiwa katika ardhi yao.

Jerry was a founder na CEO wa kampuni yake ya Agribond inayoitwa Kilimo Yetu..

Alikuwa amepata support kubwa tu ya baadhi ya makampuni ya huko Kenya.. Including Safari Com ambaye Ceo wake alikuwa so admired na idea ya huyu kijana...

Pia alikuwa na support ya former boss wa word bank na chuoni kwao.. In a year kampuni yake ilikuwa ina worth million dollars..

Huyu dogo amenisikitisha sana kiukweli.. Nimeumia kuona kijana mdogo mwenye vision ya hali ya juu akipotezwa kirahis rahis..

Unaweza google ukaingia kwa website yake binafsi au ya kampuni yake iitwayo Kilimo Yetu..

Hapo chini ni taarifa iliyo tolewa chuo kwao leo.. May his soul rest in peace.View attachment 122832
 
Halafu kuna wa Tanzania kibao hapo, sijui kina ubora gani hiki chuo.

Kama hujui ubora wa chuo hicho na bado unajua kuwa wapo Watanzania kibao wanaosoma hapo what does that tell you about the status of our local universities?
 
Isaac Maruma , Pole sana kwa kupoteza mwanao, may The Lord rest his Soul.
So sad kupoteza kijana in his prime!
 
In short Jerry Isaac Mruma was a upcomming billionair katika ardhi ya Kenya...

Kijana mdogo tu amezaliwa mwaka 90 but was a very bright Guy.. Kilichotokea najua ni wivu tu wa wakenya kuona kijana mdogo wa kitanzania akifanikiwa katika ardhi yao.

Jerry was a founder na CEO wa kampuni yake ya Agribond inayoitwa Kilimo Yetu..

Alikuwa amepata support kubwa tu ya baadhi ya makampuni ya huko Kenya.. Including Safari Com ambaye Ceo wake alikuwa so admired na idea ya huyu kijana...

Pia alikuwa na support ya former boss wa word bank na chuoni kwao.. In a year kampuni yake ilikuwa ina worth million dollars..

Huyu dogo amenisikitisha sana kiukweli.. Nimeumia kuona kijana mdogo mwenye vision ya hali ya juu akipotezwa kirahis rahis..

Unaweza google ukaingia kwa website yake binafsi au ya kampuni yake iitwayo Kilimo Yetu..

Hapo chini ni taarifa iliyo tolewa chuo kwao leo.. May his soul rest in peace.View attachment 122832

kwa kenya hayo uliyo ya associate hata sibishi.jamaa wana wivu sana wa kimaendeleo.kuondoa uhai wa mtu ilimradi tu asifikie malengo ni jambo la kawaida.kwa wenjeji wa central kenya hususani kikuyu visa kama hivi ni vingi.hawa wenzetu issue za kufanyiana uchawi (kambotee) kama cc wabongo sio kivilee,mbaya wako anakufata mazima mazima na kukuondoa.
 
May he RIP.nimesikitika mnooo hasa baada ya kuwatch video yake jaman tumepoteza kichwa
 
Back
Top Bottom