Recent content by dally

  1. D

    GE2010 PICHA: Mwanza Yalipuka - Mkutano wa Slaa

    Umati mkubwa wa wakazi wa mji wa Mwanza na vitongoji vyake wakiongozwa na viongozi na wafuasi wa Chadema, jana walifurika katika uwanja wa Magomeni Kirumba, kumsikiliza mgombea urais kupitia chama hicho, Dk. Slaa, saa chache baada ya askari polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) kuwatawanya...
  2. D

    GE2010 Mama Salma Kikwete alalamikia kuonyeshwa alama ya CHADEMA

    Mke wa Rais , Salma Kikwete, ameeleza kusikitishwa kwake na hatua ya baadhi ya wanawake wa vijiji vya wilaya ya mpya ya Momba mkoani hapa ukiwemo Mji wa Tunduma kumuonyesha alama ya vidole viwili inayotumiwa na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakati akiwa njiani akitokea...
  3. D

    GE2010 Nguvu ya Dr.Slaa Mwanza kumpeleka Kikwete tena Mwanza?

    Kaka TBC wameonesha asubuhi hii ila usiku hawakuonesha...hakywamungu Mwanza ilikuwa balaa..kwa wale walioangalia TBC asubuhi watathibitiha hili. Nadhani ni formula mpya ya TBC sasa wamegundua watu wanaangalia sana TV usiku kwahiyo picha za ukweli wanaweka asubuhi...ila ITV nadhani wataonyesha...
  4. D

    GE2010 Tetesi za kutisha

    Ni kwamba jamaa wameshaanza kuandaa kadi za mialiko kwa ajili ya viongozi watakaoudhuria uapishwaji wa presidaa wa tz ajae...ambapo inaelezwa itakuwa kati ya tarehe 3 au 4..ni kwamba ushindi umepangwa kutangazwa usiku na asubuhi inaendelezwa ndani ya wanja la taifa.
  5. D

    Tafakari,chukua hatua

    Jamani naomba tafakari ya picha hii Sasa na hii ndio kiboko ya yote
  6. D

    GE2010 Sasa tumekaribia kufika

    Na Ruhazi Ruhazi SIJALI bado umbali gani katika safari yetu, lakini nimepata matumani, nimefarijika na kufurahi baada ya kuona kundi kubwa la watu walipo kwenye safari yetu sasa wamebaini kuwa tumekaribia kufika mwisho. Wote wamechoka lakini wanajipa moyo na kujikaza kisabuni...
  7. D

    Orodhesha nyumba yako ya KUUZA / KUKODISHA hapa

    UNAYO NYUMBA UNAPANGISHA AU UNAUZA? KAMA JIBU NI KATI YA HAYO MAWILI BASI USIPOTEZE MUDA INGIA KWENYE BLOG YA DALLY ESTATE,UWEZE KUORODHESHA NYUMBA YAKO BURE KABISAA. PIA UNAWEZA KUFWATILIA MAMIA YA NYUMBA ZILIZOKWISHA ORODHESHWA NA UANGALIE NYUMBA INAYOKUFAA KWA MAKAZI. DALLY ESTATE
  8. D

    Ni kweli Website ya Uhuru yachakachuliwa?

    Wanajamvi nilikuwa napitia gazeti la CCM na nimeshengazwa na kukutana na kichwa cha habari kwamba tovuti yao imechakachuliwa na wahuni na waliofanikiwa kuendesha KURA YA MAONI ya URAIS wa JMT ambapo Dr. Slaa ameibuka mshindi. Kwakweli hali si nzuri na jamaa wanajaribukujikosha ili kibarua...
  9. D

    Nyumba / viwanja..zinauzwa / zinakodishwa

    Nyumba za kupanga,za kununua,viwanja vyapatikana HAPA
  10. D

    Magari haya Yanauzwa

    Magari kibao yanauzwa...kwa picha na maelezo mengine CLICK HERE
  11. D

    Mwisho wa 24 ya jack bauer leo

    Kwa wale wapenzi wa Jack Bauer...mkali wa ngumi za hatari ndani tamthilia maarufu duniani ya 24...leo usiku mtapewa masaa 2 kushuhudia mwisho wa tamthilia hiyo iliyochezwa kwa miaka 9 ikiwa imeanza rasmi November 6, 2001. Hii ngoma na interview za jack na chloe nimeziibua huku....
  12. D

    Gari zinauzwa

    2000 Toyota Ipsum FOR SALE REDUCED!!! TOYOTA OPA 1998 Toyota Harrier FOR SALE 2001 Nissan X-Trail 2000 Toyota RAV4-J for sale 1998 Suzuki Jimny sports Toyota RAV4-L Mitsubishi Pajero Exceed Di for sale 2000 Volkswagen Beetle FOR SALE 2000 Toyota Vitz Clavia 28+1 seater Nissan minibus...
  13. D

    Babu Seya, Papii Kocha wafungwa maisha - Soma hukumu

    HUKUMU HIYOOO! Papii Kocha na Baba yake, Babu Seya wameonekana na hatia hivyo wataendelea kukaa jela For The Rest of Their Lives!!....kwa video na mengineyo nimeyafuma hapa click here DARHOTWIRE
  14. D

    DALLY ESTATE,No.1 Tanzania Property Sales & Rentlas

    Dally Estate specializes in selling and renting of commercial, residential, beach front property and retail premises. We do this with an aim to provide a complete solution when buying Or renting property in Tanzania with a focus of meeting the needs of the customer...
  15. D

    Kiwanja Nusu heka tabata kinauzwaa

    Kwa nyumba na viwanja vinavyouzwa ingieni hapa kwa mdau Dally
Back
Top Bottom