Recent content by Dalali Bunju

  1. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Nani aniuzie simu kwa bei ya jumla

    Njoo WhatsApp 0766473551
  2. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Laki 2 kwa Wiki Freelancing Skill (No Experience Needed with Prove)

    Ubarikiwe Sanaaaa mkuu
  3. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Single room needed Maeneo ya Tabata shule hadi Segerea

    Usijali nalifanyia kazi
  4. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Secretary Wa kupiga na kupokea simu

    Ufafanuzi zaidi mkuu, hususani kuhusu malipo
  5. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Mbona gharama za kununua nyumba Tanzania zipo juu sana?

    Unahitaji kununua Nyumba maeneo yapi na ya mtindo gani? Budget yako ipo vipi?
  6. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai ajiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Jema si jema lisipo pema! Ni vyema tukajifunza na kuzingatia maadili ya uongozi tunapo pata fursa ya kuwa viongozi, Yawezekana Mwamba alikuwa sahii katika hoja yake ya msingi, ila je aliiwakilisha kwa usahii na wakati sahii? Uhu mtindo wa kukurupuka kwenye vyombo vya habari wakati zipo njia...
  7. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Shule ya kununua

    OFFER YENU NI KIASI GANI?
  8. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja

    Bunju vipo vya ukubwa tafauti tafauti, maji, umeme vipo , bei kati ya ML13 - 25 (M20*40/25*35) na ML40 (M70*80)
  9. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Maendeleo katika mkoa wa Ruvuma: Je, mkoa huu una tajiri mzawa anayemiliki investment zinazozidi au kukaribia USD 400,000?

    , Bahati mbaya watu wa Ruvuma sio watu wa majigmbo na showoff kiasili kama ilivyo kwa watani zangu wakina nshomile..! Watu wa ruvuma ni watu wa kukimbiza mwizi kimya kimya, kutokana na unyenyekevu wa kikatoliki ulio watawala, Wapo wajomba zangu wamatengo kutoka wilaya ya mbinga (wazee wa kazi)...
  10. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja

    karibu bunju , weka mezani ofer yako 0766473551
  11. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Trump Impechment hearings Live

    Te te te te te te te te...! Marehemu Kafufuka NYUMBA ya Urithi Haiuzwi Kuing'ngoa CCM ni ndoto ya Abunuasi, hasa kwa wapinzani vilaza tulio nao
  12. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Wapi wanatengeneza viatu vya moka vizuri Dar ?

    Oiso rather products, Sala sala mbuyuni
  13. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka nahitaji vyombo vya usafiri vya kukodi

    Uhitaji bado upo? Au ulisha fanikisha?
  14. Dalali Bunju

    JamiiForums Tanzania NAHITAJI SHAMBA LA KUNUNUA

    Ulisha pata mkuu? Budget yako kiasi gani? (maana unaweza pata kubwa zaidi - kulingana na budget yako)
Back
Top Bottom