Trump Impechment hearings Live

Trump Impechment hearings Live

Donald Trump ndio raisi pekee asiyetokana na familia mbili tajiri za marekani ambazo huamua nani awe raisi,Rothschild &Rockefeller (Kingmakers).Anapata tabu sana kuongoza kwa kukataa kulamba viatu Vya hao mabwana.Trump anapendwa sana na wananchi wa marekani,ndio kinachomuweka hapo kwenye kiti cha uraisi!
Kaka unaishi Marekani nini?
 
Huu ujinga na uongo wa kijiweni.
 
Aah wapi, tukiondoa tuu CCM na kuunda katiba mpya iliyo na uwazi zaidi na kutokuwepo na mhimili au mtu aliyejichimbia zaidi basi yote yawezekana.
Tunaona South Africa wanavyompelekesha Rais wao akifanya makosa
Te te te te te te te te...!
Marehemu Kafufuka NYUMBA ya Urithi Haiuzwi
Kuing'ngoa CCM ni ndoto ya Abunuasi, hasa kwa wapinzani vilaza tulio nao
 
Te te te te te te te te...!
Marehemu Kafufuka NYUMBA ya Urithi Haiuzwi
Kuing'ngoa CCM ni ndoto ya Abunuasi, hasa kwa wapinzani vilaza tulio nao
Vyama vyetu sio vilaza vilaza ni raia wa nchi kama wewe wenye mawazo ya aina yako
 
Hakuna kitu kama hicho,kisheria lazima ujibu na kutoa ushahidi kisheria,yaani unataka kumuondoa Rais wa nchi makarakani kwa kutumia hearsay?? ,What a stupidity.
Wewe naye kwa kujifanya mjuaji!!
 
Hao wote wameulizwa a very simply qn:In that conversation,Is there a quid pro quo?.Yote yanatizamana tu hakuna mwenye jibu..Total which hunt.
Nimetizama hiyo hearing yote,nimegundua ma democrats ni mapumbavu sana.How can you accuse the POTUS to a crime with no evidence...??
Nonsense!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom