NAHITAJI SHAMBA LA KUNUNUA

NAHITAJI SHAMBA LA KUNUNUA

Private-eye

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,069
Reaction score
1,211
Salaam!

Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5.

Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa.

Mwenye nalo aje inbox.

Asante.
 
Ingekuwa maeneo ya MOROGORO ningekupa location mzee baba heka 10 na mto umekatiza katikati ya shamba
 
Salaam!

Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5.

Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa.

Mwenye nalo aje inbox.

Asante.
Ulisha pata mkuu?
Budget yako kiasi gani? (maana unaweza pata kubwa zaidi - kulingana na budget yako)
 
Salaam!

Nahitaji shamba la kununua maeneo ya mkuranga. Ukubwa usizid heka 10 wala kupungua heka 5.

Umbali toka barabara kuu usizidi kilometa 5. Bei maelewano....vigezo na masharti kuzingatiwa.

Mwenye nalo aje inbox.

Asante.
ninalo Kisarawe eka. 10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom