Recent content by Daktari

  1. D

    JamiiForums Tanzania SIASA/UTENDAJI SIO KWA KILA MTU:Mguvu Za MHE PINDA ZIKO WAPI??

    Hoja yako ni nini hapo! alianza kwa makeke yepi? Kila kitu atashughulikia? aliitoa wapi hii kauli?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ukisikia wenye fwedha wamekupora mke usilalamike.

    Sasa mbona wanaofaidi hapo hawana pesa! na wala hajawahi kuporwa na wenyepesa! unazungumzia Bongo celebrity mkuu! Wapi Mamaa Wema Sepetu, Auntie Ezekiel,....
  3. D

    JamiiForums Tanzania WANAUME ni Watu wa Ajabu Sana!

    Unasema unakaaga na wanaume wenzako wanakusimulia! kwani ni mwanaume? naunga makono suala la ban kwa huyu!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Movies gani unapendekeza nitafute

    Mkuu, we nimikukubali, unacheza anga zote: Movie humo, soka ndo noma, na mambo ya muziki wetu well vested duhh,mzee unastahili many thanks!
  5. D

    JamiiForums Tanzania Movies gani unapendekeza nitafute

    I like War action movie, especially those based on True Stories! Tear of the sun. American soldiers ( askari wa kimarekani ndani ya Iraq, walivotaitiwa! Black hawk down (Amerikan ndani ya Somalia, Kumng'oa Faraa aideed (sijui jina nimepatia))
  6. D

    JamiiForums Tanzania Hellow! JF Members

    Ya' most welcome! in-PM tu, It's ma pleasure!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hellow! JF Members

    Asante mama! It sounds nice hearing from you!
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Kibamba - Dar

    Mpango wa Kujenga dabo rodi mpaka Mlandizi hupo zaidi ya miaka kumi! mpaka leo hupo kwenye makabrasha! inashangaza sana hakuna zaidi 40km pale hii njia ndo main exit ya Jiji la DSM na ndo inaunnganisha mikoa mingi ya TZ! but Bongo zaidi ya huijuavyo! Poleni Wahanga!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Hellow! JF Members

    Ahsante Mkuu BAK! Pamoja sana!
  10. D

    JamiiForums Tanzania Unategemea kupata mtoto karibuni?

    Mwanahamisi Sikudhani Sikujua Mwajabu Fikirini
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hellow! JF Members

    Ushauri Nasaha!!
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hellow! JF Members

    Hodi humu ndani! Naomba mnipokee Waungwana!!!!
Back
Top Bottom