Ukisikia wenye fwedha wamekupora mke usilalamike. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukisikia wenye fwedha wamekupora mke usilalamike.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Mar 25, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,345
  Trophy Points: 280
  WANAWAKE WENGINE NI WAZURI KIASI KWAMBA AKIWA NA BWANA HOE HAE KAMA MIMI HATA NIKIPORWA NA PEDESHEE, ITABIDI UGUZE MOYO, NA KUSONGA MBELE KUTAFUTA MWINGINE.
  HEBU CHEKI KITU HIKI KIMEKAAA KAMA PEARL MAMAA YA THERENGETITHERENGETI..
  [​IMG]
   
 2. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,018
  Trophy Points: 280
  Ukiporwa binti kama huyu huna sababu ya roho kukuuma zaidi ya kushukuru mpwa wangu
   
 3. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,428
  Likes Received: 3,790
  Trophy Points: 280
  Yaani hapoooooooooo..........hakyanani tena UTAUZA nyumba ya ulisi.......duuuuuuuu
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,345
  Trophy Points: 280

  kweli kabisa hata kama ulipewa ulisi itabidi uhonge wote.
  Ila urithi kamwe usije honga mwana wane
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  mmmh wanaume vichomi utawajua tu
  lakini ni mrembo halisi wa kibantu
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Bujibuji wewe hapo unaangalia uzuri wa sura au nini hasa ?:)
   
 7. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,018
  Trophy Points: 280
  Wakoje hawa wanaume FL1?
   
 8. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145

  Hata mi nimetamani hii, japo sifanyi kosa nikamweka ndani! Kila mkamilifu atajua unachojivunia.....! Labda umvalishe chupi la chuma, then utembee na ufunguo ili roho ishuke walau kidogo.
   
 9. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  pearl sayz:

  ah ah ah uncle buji jamani miss u mwaaaaaaaa,yani niko busy nachukua oda ya kuku si unajua watu sikukuu ndo wanajichana?by the way mbn hujasema unataka wangapi?miss u unlce mwaaa
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,426
  Likes Received: 22,345
  Trophy Points: 280
  tabia yake ambayo inavuma sana kwenye magazeti ya sh. Mia mia
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  naomba nisikujibu ICU
   
 12. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Jamani huyu dada ni mzuri au alivyovaa anavutia? maana sijui ni dada gani apige picha ya namna hiyo na aonekane mbaya
   
 13. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,018
  Trophy Points: 280
  Okey FL1
   
 14. jossey1979

  jossey1979 Senior Member

  #14
  Mar 25, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 168
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Utafikiri haendagi nanihiiii!!
  kitu kama ya kuchorwa!!
   
 15. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,955
  Likes Received: 21,108
  Trophy Points: 280
  ni mtz huyu dada?anaitwa nani??
   
 16. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,818
  Likes Received: 1,166
  Trophy Points: 280
  halafu muoaji anaiacha inathagaa thagaa mitaani kiruuuu?hakyanani watu wanakamua hiyo mpaka thukari iishe atheee mbe!:rolleyes:
   
 17. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  jamani binti alikuwa hapa siku zooote muoaji hakuna, hadi mmenyang'anywa na mrundi ndo mnaanza kumtamani. kumbukeni amri ya tisa, usitamani mke wa mwenzio lol.
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  mama Irene Uwoya Ndikumana
   
 19. D

  Daktari Member

  #19
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona wanaofaidi hapo hawana pesa! na wala hajawahi kuporwa na wenyepesa! unazungumzia Bongo celebrity mkuu! Wapi Mamaa Wema Sepetu, Auntie Ezekiel,....
   
 20. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ukiporwa mke kama huyu hamna jinsi nzuri zaidi ya kushukuru aliyekupora maana atakuwa kakuepusha na mengi
   
Loading...