SIASA/UTENDAJI SIO KWA KILA MTU:Mguvu Za MHE PINDA ZIKO WAPI?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SIASA/UTENDAJI SIO KWA KILA MTU:Mguvu Za MHE PINDA ZIKO WAPI??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Mar 25, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  WanaJF naomba munisadie mana nashindwa kuelewa huyu Mheshimiwa Pinda PM wetu wakati amechaguliwa alianza kwa makeke kila kitu alisema atashughulikia, Kweli HUYU NDO PINDA ALIYEINGIA KWA NGUVU ZOTE ?? WATANZANIA WAKAAMINI HILI NDO CHAGUO LA WATANZANIA HETI NI MTOTO WA MKULIMA.
   
 2. D

  Daktari Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hoja yako ni nini hapo! alianza kwa makeke yepi? Kila kitu atashughulikia? aliitoa wapi hii kauli?
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  I think it is high time to rethink position of Prime minister and President, kimojawapo inabidi kiondoke!
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nadhani wewe hukuwepo..ni kweli alisema mambo mengi na hakuna hata moja lililotekelezeka ,huyu si ndo anakataza tusivae suti,tusipande ma VX,na huyu huyu alisema hakuna kufanya semina mpaka yeye atoe approval..hahaaa PINDAAAAAAAA kazi unayo mtoto wa mkulima graph yako iko doro
   
Loading...