My classmate wangu yeye alikuwa la saba A mimi nipo la saba c chini ya mbabe Ndossi , tulikuwa na tunasoma na mjuku wa kike wa Mwinyi kipindi hicho yeye na shehe halahala walikuwa kama wa date hive
Bro umenigusa sana na ujumbe wako kama umeniongelea mimi haya maisha yetu na hizi familia zetu zenye watoto wengi familia moja , matatizo kama hayo lazima yawepo tu.
Bingwa hiyo troused ya will Smith ni Dolce and Gabbana zebra trousers price tag yake ni us dollars 995 , google kwa uwakika zaidi pesa ndefu kibongo bongo
Nikweli nakubaliana na wewe hii ujumbe wako ni kama unanizungumzia mimi kabisa, kwa kweli mimi ni mtu mwenye kupenda vibaya sana hasa nimpate msichana wa chaguo langu na anayejiheshimu nikwamba nilitokea kumpenda msichana mmoja hivi amenipita age for like one year different,Tatizo lake ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.