Polisi Yawaonya Wanaokula Hadharani mwezi wa Ramadhani

Polisi Yawaonya Wanaokula Hadharani mwezi wa Ramadhani

Status
Not open for further replies.
Double standard hizo kwanini visiwani pekee? Mbona Waislamu wapo Tanzania nzima. Leo mchana nimeenda lunch mgahawa mmoja hapa Iringa ambao mmiliki wake ni Muislamu na ni raia wa kigeni nimekula chakula kama kawaida na wahudumu wake ni waislamu na wamefunga lakini wametoa huduma ya chakula. Kufunga ni ibada baina ya mtu na Mungu wake wala sioni mantiki ya kuwazuia wengine wasile hadharani.
 
Mwezi ukiisha tunafungua busha ktk maeneo ya makanisa, lkn pale toroka uje hakuna wateja je ni hao wanaotangaza?
 
Nchi hii ni ina tunu ya Uvumilivu na sio tunu ya Amani. Labda huko nyuma amani ilikuwepo, lakini kwa sasa ujinga mtupu. Ratiba ya mwingine iingilie starehe ya mwingine.
 
tusio waislamu aah

iftar-meal1.jpg

hakuna jinsi hapa lazima kufunga tu, kama mambo yenyewe ndio mlo huuuu.
Haya bismillah.
 
Kwani zanzibar inaongozwa kwa sheria za kiislamu? mbona siwaelewwielewi hawa polis na serikali yao? kama kufunga si kila mtu na starehe zake?
 
Bro, umenichekesha sanaa kaka kunawatu mnajuwa kupambanua mambo, big up bro
 
Tangu lini polisi imekuwa chombo cha kidini? Hivi tunaposema serikali haina dini huwa tuna maanisha nini kweli?
 
Na siku hizi jinsi inavyododa... Acha wafunge mwaka

Kitimoto bwana acha tu, tena jana nikaifumania kitimoto pori huku mtwara, hahahaaaaaa! Si mchezo mkuu. Hivi kushuka bei inamaanisha kuna wadau wapo kwenye mfungo kwa hiyo wateja wamepungua?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom