Hela za shetani zinaishia kwa wenyewe, hata siku moja huwezi kuzifanyia cha maana..!!
Kwa nini mku asinunue "Toyota ist" kwa matumizi binafsi na "Toyata Hilux au Land Cruizer Prado" kwa matumizi ya family, halafu nyengine akasaidia kwa mambo ya maendeleo, shule, hospital, vituo vya mayatima..!! unanunua gari hata ukikaa huenei vizuri, na ukikongwa na unawekwa mvunguni kabisa..!!
inatengenezwaje mkuu,nijuze maana huwa naisikiaga tu.
Upo sido nini mkuu? Usiulize inatengenezwaje uliza yanatumika marterial gani kuiunda.
Buggati bei yake kwa dola za marekani ni zaidi ya dola milioni 1.5
Kwa pesa ya kitanzania ni zaidi ya bilioni 2 hapo bila ushuru na kodi nyingine.