Recent content by dakitare

  1. dakitare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumsomesha mke wako chuo

    Broo wory out, we somesha and if possible nipe namba yake niwenampa ushaur. Coz mi nipo hapa st john Dodoma mambo yataenda vizur
  2. dakitare

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

    Kwa jins navyoifaham BCM nikwamba hawa ni Co ambao hawana uwezo Wa kwenda kusoma MD, so BCM watakuwa hawafanyi surgery (operation) ndio tofauti itakayowatofautisha na MD. Na ujue ukichukua BCM mwisho haina masters wala PhD.
  3. dakitare

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kunyoa nywele private hair kwa majivu na mshumaa au kibatari

    Duuh hapa ni propaganda tu,
  4. dakitare

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Waalimu Tanzania (CWT): Msimamo wetu ni palepale.

    Hao walimu unaowasema saiv wanabembeleza wapewe nafas za kusimamia uchaguzi na wamebaniwa wanalalamika kweli. Hawana lolote nao wanataka kula tuu
  5. dakitare

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    Sasa nyie wadau mbona hamna logic, kama ITV inascratch si mumuangalie Edo kupitia azam two, mnalaum na wakati kunanjia mbadala.
  6. dakitare

    JamiiForums Tanzania CCM Wametelekeza Watu Mwanza

    Mfa maji haish kutapatapa, ccm tuko vizuri
  7. dakitare

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Nyamagana Mwanza: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Oktoba 12, 2015

    Ila nyie watz nawashangaa, ni kwanini mnakubali kuwa na IQ ndogo kias hicho? Lowasa kafunika Mara ohh Mwanza ni gharika LA watu, ivi huu uwanja Wa furahisha unachukua idad ya with 4720, na hata akija mch mwakasege huu uwanja huwa unafurika, je watu 4720 waliokuwepo furahisha ndio idad ya wakaz...
  8. dakitare

    JamiiForums Tanzania Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

    Aliwazalo mja ndio limpatalo. Ukiwaza ccm haitoki ni kweli haitatoka.
  9. dakitare

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye uke mdogo ni ugonjwa au maumbile tu?

    Duhhh mkuuu unahitaji bshari, MTU akiwa na kisima unasema mgonjwa?
  10. dakitare

    JamiiForums Tanzania Now dayz kwa uwelewa wangu watu hawakosi vyuo ila Mkopo shidaa vip wale profile zao NACTE zipo vle v

    Sory kwa waliochaguliwa st john Dodoma tupeane update, maana sielewielewi iv mbona hawaweki admission letter mtandaoni.
  11. dakitare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Acheni maisha ya sinema, foleni ya kuolewa ni ndefu sana

    Uliyetoa mada hii research yako imepewa 97%
  12. dakitare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Hawa mtu na mkewe siwaelewi kabisa

    Hizi hadithi za abunuasi nilizani zilishatoweka kitambo kumbe bado zipo, haya bana ushaur umepata endelea kutujuza mapya zaidi.
  13. dakitare

    JamiiForums Tanzania Muathirika wa VVU anaweza kufanyiwa operation ya Kansa na kuendelea kuishi vizuri?

    Kwa sasa hatuamin coz hata babu alituaminisha hatimaye akapotea
Back
Top Bottom