Jinsi ya kunyoa nywele private hair kwa majivu na mshumaa au kibatari

Status
Not open for further replies.
natafuta ndugu yangu leta huo ujuzi leo jamani! mie nataka niwe wakwanza kutumia hicho kibatari kunyolea humu jf nilete na mrejesho

somo linashindwa kuanza kwa sababu ya picha ujue!...na mrejesho ili unoge nao inabidi uwe na picha pia!
najitolea kuwa mpigaji...buuuuuure kbs!
 
Last edited by a moderator:
Helo wenyewe,

Leo ni weekend ni siku ya usafi.kuna sayansi ya asili nilifundishwa na bibi yangu jinsi ya kujinyoa huko bila kuacha madhara kama mjuavo nyembe zimekuja miaka huii tu naomba idhini ya jukwaa hili ili niwafundisheni.uzungu unatesa mapele kibao,

Naogopa kuandika bila ruhusa halafu matusi sitaki wala pm siitaji mtu yoyote. Naingia kwaya nitatoka saa moja nikiruhusiwa nitawapa somo.maana wengine maeneo yao yanatisha yamezeeka wakati bado Tu vijana

Update kwanza samahanini nilichelewa kurudi jmosi.Nimeshindwa kuendelea maana nashindwa kuweka picha nielekezeni.nikiwafundisha hatua kwa hatua na picha ndo mtaelewa.

Kama msiponiona nipo busy nasoma mitihani keshokutwa board!

Say no to gillete

mmmh huyo aliyechukua laptop arudishe tupewe somo
 
mkuu nashanunua kibatari na majivu nimetunza tangu siku umetoa huu uzi ila husemi procedures
 
Hakuna haraka ya kuyanyoa, nayatunza katika mazingira mazuri sana. Toka mwaka 2009 sijayanyoa, wala sio utani.

Hayazuii mtu kushika maiki na kuimba.

Weka picha tuone vizuri .ili nawengine tucopy na kupaste .usiogope usionyeshe sura tunataka kuona pubic hair yako iliyodumu kwa miaka 6 km pocble mi ni msusi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom