Recent content by dakib

  1. dakib

    JamiiForums Tanzania Ukatili huu uliofanywa na Polisi Simiyu kwa Watoto wa shule, ni aina nyingine ya "ukaburu mamboleo"

    Wafunguliwe mashitaka kwa kitendo hiki, kinaenda kinyume na haki za watoto duniani kote
  2. dakib

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka gani ambao Serikali ya Tanzania iliwagawia bure wananchi wake chakula ?

    Unapoambiwa unapewa bure haimanishi lazima upewe buree, kinachofanyika ni punguzo kwa kiasi kikubwa sana, kwa mfano debe moja la mahidi unaweza linunua kwa sh1000 badala ya 15000, na hali ikiwa mbaya sana, huweza kugawiwa buree, ila hili la punguzo la bei, limeonekana maeneo mengi ktk taifa hili...
  3. dakib

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

    Nimekuelewa sana mkuu ,itatumika upande wa pili , waone ilivyochunguu
  4. dakib

    JamiiForums Tanzania Kumkashifu mtume Muhammad na kunyang'anywa leseni ya udaktari, sheria zimezingatiwa?

    Mi nadhani kwa maoni yangu, hawajafanya lolote, ile ni taaluma ambayo mtu kasomea na hivyo ipo kichwani mwake na sio kwenye leseni, Kizuri zaidi chombo husika kinachotakiwa kumfutia leseni hiyo hakijahusika na hivyo kinamtambua kuwa bado ni daktari halali, kama wana uwezo watoe elimu yake...
  5. dakib

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya hadi 2020?

    Moja kati ya agenda kuu ya watanzania ilipaswa kuwa katiba mpya ila kwa bahati mbaya, suala hili halina msukumo wa kutosha na kwa maoni yangu wanaharakati na vyama vya upinzani walipaswa kulifanya hili kama mboni ya jicho kabla ya 2020. Alichokifanya rais ametimiza matakwa ya katiba ya sasa...
  6. dakib

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisaikolojia

    Nikushukru kwanza kwakuwa muwazi na tatizo linalokusumbua, pia nikupongeze kwa kumgeukia Mungu wako, Kwa maoni yangu kwakuwa umemgeukia Mungu wako, ni vema ukaendelea kuwa imara katika hilo kwa kuwa huko nako kuna mabinti wazuri, Jitahidi kufanya urafiki chanya na mabinti wengi hususani wa...
  7. dakib

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya Kardinal Pengo,inatukumbusha "upande wa pili" wa Kanisa Katoliki

    Nianzee kwa kusema kuwa Pengo ni binadamu, anakosea kama binadamu wengine, na hivyo anapaswa kukosolewa ili mradi busara itumike katika kukosolewa. Huwa inanipa wasiwasi mkubwa pale viongozi wakubwa wa kisiasa wanapotengeneza urafiki wa karibu na viongozi wakubwa wa madhehebuuu, ukifatilia...
  8. dakib

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka wa kuwa na katiba mpya

    Katiba mpya inahitajika lakini siyo walioiacha kiporo bila kuimaliza pale bungeni, tunahitaji iliyopendekezwa na wananchi chini ya jaji Sinde Warioba, watwambie iko wapi Pamoja na yote serikali hii haiwezi ikakuleteaa katiba mpya ile hali unaongelea ukiwa chumbani. Ni vema kuishi dak 1, katika...
  9. dakib

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mpiga picha maarufu, Mpoki Bukuku amefariki dunia

    R.I.P Mpoki
  10. dakib

    JamiiForums Tanzania Tupige kura ya kuchagua Mwanasiasa bora na Mwanahabari bora wa mwaka 2016

    Mwanasiasa bora Lema Mwandishi bora Mayalla
  11. dakib

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Kwa nini amemuacha Makamu wake wakati nayee kastaafuu wakati alidai mtu hataweza kuongezewa muda mara baada ya kustaafu. Hakuna jipya zaidi ya kutumia mtandaoo yetu kupaza sauti KATIBA MPYA.
  12. dakib

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waanza kubeba mabegi kurudi kwao baada ya kukosa mikopo

    Jkt ndo mlifundishwa hayo matusi sio?
  13. dakib

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza sio watu wa mchezo mchezo

    Zunyaga ishile lolo
Back
Top Bottom