habari wanajukwaa?
kwa umri ni miaka 24,kama kichwa cha khabary kinavojieleza,matatizo yangu yalianza baada ya kumaliza form 4 2010.
kipindi namaliza form 4 bado niko innocent and pure,sijawahi kua hata na gf wala sikuwahi kufanya ngono nikaajingiza katika janga la mitandao ya kijamii kutafuta mwanamke.nilianza na mtandao wa eskimi ambao huo huo uliniletea balaa hili.
nikiwa nishapata girls wawili watatu wa kuchat nao na kupigiana simu ila kuonana nao ilikua mbinde maana nlikua sina kitu,kukawa na mshkaji mmoja pia nachat nae huyo mshkaji akaanza kuniletea vishawishi kuhusu mambo ya kumla goti,jamaa alitumia ushawishi wa hali ya juu kwa kuchat na mimi kunifanya niweze kutamani kumla goti bila hata kuonana,huku mazoea na wale girls yakapungua mi nikawa nachaat na mshkaji daily.
siku ya kwanza tulionana morroco kwenye burger,jamaa ni shombeshombe umri kwenye 30s alikuja na gari.baada ya kula burger na juisi nikaingia kwenye gari mpaka kwenye apartment yake upanga,tukiwa njiani aliweza kunichezea nyeti zangu na kunitia mshawasha na baada ya kuingia huko ndani ndo ikawa siku yangu ya kwanza,kuzini,kula goti na kuingia katika dhambi kubwa kabisa.
Toka siku hiyo mshkaji ndo akawa kama mwanamke wangu,kwa kutumia ushawishi wake wa mali na utoto wangu alizidi kunitumia kwa kuniita kila akijiskia na kunifanyisha vitendo vichafu,nilienjoy sana pamoja na kusahau kabisa kuhusu wanawake na kua homosexual completely.
baada ya matokeo kutoka na kuchaguliwa kuendelea a level shule flani hivi ya boarding,mawasiliano yalikata mimi na mshkaji kwakuwa nlikua sina simu ila kipindi cha likizo ilikua kama kawa,tuliendelea na tabia hiyo chafu tena kwa ufanisi zaidi pale nliporudi dar kuendelea na chuo hapo ndo nkahamia kwake kabisa tena na kujisahau kama mimi nimeumbwa kwa ajili ya mwanamke.nkawa hata nkicheki porno basi ni za gays.kwakua mshkaji pia alikua anafanya siri na huwezi kumjua kwa sura basi mambo yetu yakawa chinichini bila kujulikana.
mpaka mwaka jana mungu alipoamua kuniadhibu,chuo nlifeli nkashindwa kuendelea,rafiki wangu wa karibu alinistukia na akanitenga na kuntangazia,wazazi hawajui ila wamenichukia sna kwa kufeli chuo,mambo yangu yote yalikata nkawa nimefulia sina hata mia,Cha kusikitisha zaidi ni huyo mshkaji alieniiingiza kwenye haya yote alifariki kwa ajali mwaka jana pia,baada ya hayo yote nikaamua kumrudia allah na kutubu na kulia sana na kujuta sana hatimaye mwaka huu nkapata kazi ya kujishkiza.
Tatizo nililonalo sasa iv ni kua nimeshaathirika na uhomosexual,nkiwaza chochote kuhusu ngono nawaza kumla mwanaume mwenzangu sababu sina memory ya kudo na msichana.na kwa wasichana kusema kweli ni domo zege na wala sina mpango nao.
nahitaji msaada niweze usahau kabisa uhomosexual na kua pure na niwe kama wanaume wa kawaida..nahitaji msaada wenu wakuu sitaki nife mchafu.
asanteni sana.