Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 15,795
- 28,454
646474849494985757575839340 acha namba zisomeke ipo siku watu wataona umuhimu wa katiba Mpya,mwaka mzima na siku bado tunateua kazi za kujenga viwandaa zitaanza 2019
Mgombea anateua refa.
Only in Africa.
Bara la giza,tena giza totoro....Yaani mwenyekiti wa chama na ambaye pia ni mgombea,anamteua mwenyekiti,alafu huyo mwenyekiti aje akae kwenye hicho kiti anyanyue mdomo wake eti mshindi ni Lowassaaaa.Nitakunya kwenye ubwabwa alafu nitaula wote!Huyo mwenyekiti mpya eti ndo ataongoza chombo kitachosimamia, kuendesha, na kuratibu uchaguzi mkuu wa 2020 ambao huyo huyo Magufuli atagombea tena [kama akifuata ada ya waliomtangulia].
Imagine that!
The whole thing is a joke.
Nadhani tuna safari ndefu sanaHiyo ndiyo tume ya uchaguzi ya Tanzania, tume inateuliwa na Mwenyekiti wa chama kimoja bila kuwashirikisha wenyeviti wa vyama vingine au bila kuitangaza hiyo nafasi ili wafanyiwe usaili wa haki
Bara la giza,tena giza totoro....Yaani mwenyekiti wa chama na ambaye pia ni mgombea,anamteua mwenyekiti,alafu huyo mwenyekiti aje akae kwenye hicho kiti anyanyue mdomo wake eti mshindi ni Lowassaaaa.Nitakunya kwenye ubwabwa alafu nitaula wote!
Labda atawalipizia kisasi nduguze "waliopigwa" hela ya michango ya janga la tetemeko.Hongera Kaijage.
Mkuu, tume inateuliwa na Raisi, sio mwenyekiti wa chamaHiyo ndiyo tume ya uchaguzi ya Tanzania, tume inateuliwa na Mwenyekiti wa chama kimoja bila kuwashirikisha wenyeviti wa vyama vingine au bila kuitangaza hiyo nafasi ili wafanyiwe usaili wa haki
Acha wivu basi ongezea " wa kanda yetu"Hongera kwa uteuzi
sirikali inamwaga ajira tu
Maajabu ya Tanzania yetu....bila katiba mpya hapa democrosia ....MATATA.....Sasa kweli kwa uteuzi huu alafu bado mtu anafikiria refa atachezesha fair?
Lubuva Mungu anakuona umetuachia tabu tupu kilio kila idara.Kila la Kheri Jaji Lubuva nitaikumbuka sana ile sauti yako wakati ukitangaza matokeo ya uchaguzi mwaka Jana....
Mkuu, tume inateuliwa na Raisi, sio mwenyekiti wa chama
Mkuu kwenye hizi teuzi za Mh. majina ya wateuliwa huwa yanapendekezwa na wanakigango nn?Hongera kwa uteuzi