Recent content by Daisy Llilies

  1. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Ndoo yako ya kuogea unaisafisha mara ngapi?

    Tusio tumia ndoo tuna comment wapi?
  2. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Aisee mpaka sasa sijaamini kabisa huyu jamaa hajui kusoma na kuandika!

    Si ajabu alikua anapewa sinia la maandazi akauze ili mama apate hela ya unga na mboga. Usishangae kuwa baba yake alikua na wake sita na wala majina ya watoto wengine hayajui.
  3. Daisy Llilies

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Somalia restores diplomatic relations with Kenya

    Kenya na Somalia ni kama watoto wa kambo. Wanapatana siku mbili wanagomabana siku ya tatu.
  4. Daisy Llilies

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna vitu mwanadamu huvifanya kuendana na umri

    Nimekuelewa Mheshimiwa 😂😂😂
  5. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Kifahamu choo kisichotumia maji

    Bei ya mfuko sijafahamu lakini nitaulizia, ukubwa wake ni sawa na bakuli la choo hivyo hata kama una contipation ya wiki inaweza kubeba. Bei ya choo ni £700
  6. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Nani amesema anakaa kwa Amsterdam!
  7. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Kifahamu choo kisichotumia maji

    Kutokana na ongezeko mabadiliko ya hali ya hewa, kuongezeka kwa shughuli za uchumi zinazoharibu mali asili. Uhaba wa maji duniani unatabiriwa huko siku za mbele. Wataalamu wamekuja na choo cha ndani kisichotumia maji. Unaweka mfuko kama lining ndani ya choo, ukimaliza shughuli kuna kifute...
  8. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Lissu si wakufanya kazi ndogondogo
  9. Daisy Llilies

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna vitu mwanadamu huvifanya kuendana na umri

    Unamkuta dada ana Gucci handbag na kiatu yuko kwenye foleni anagombania mwendo kazi. Mvua ikinyesha anawaza kiatu cha laki mbili kisiharibike.
  10. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Wakiwa serikalini pia wasilazimishwe kujiunga na chama tawala
  11. Daisy Llilies

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna vitu mwanadamu huvifanya kuendana na umri

    Miaka 8 mtoto anaanza kujitambua kama amependeza. Hapa ukimvalisha maroronya mnakwenda kwenye party anaweza kugoma kwenda. Hapa mzazi kuwa makini kuhakikisha mtoto ni msafi hii inamjengea kujiamini akiwa mbele ya wenzake. 11-12 wengine wanaingia puberty age, hapa anaanza kupenda kupendeza...
  12. Daisy Llilies

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

    Hata Sophia Simba alipovuliwa uwananchama wa CCM Speaker aliufuta ubunge wake lakini ni Speaker huyohuyo anaomba muhtasari wa kikao cha kuwafuta Ubunge Mzee Halima na wenzake pamoja na Katiba ya Chadema.
Back
Top Bottom