Recent content by DAFU NA NDIMU

  1. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe: Simba na Yanga, peponi hazipo motoni hazipo

    Nukta
  2. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

    Pole Sana mkuu. Utakuwa na pepo la ugomvi. Mwombe Mungu akuokoe na hali hiyo.
  3. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepiga punyeto kwa muda wa miaka 17 na nimeshindwa kuiacha kabisa

    Loading failed
  4. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Tanzania FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

    Nakuona mkuu. Habari za siku. Ngoja Leo tuwafunge magoli El merrikh na kuwafunga midomo 5imba
  5. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake ni viumbe wa aina gani na wanataka nini hapa duniani?

    Kwani wenyewe wanasemaje?
  6. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

    Mi mwenyewe nashangaa watu wanaoona ni muhimu kuoa agemates. Mi mke wangu nimemzidi miaka 17 lkn naishi naye vizuri kabisa. She is a matured wife material. Tunashauriana, tunataniana na kufanya utoto pamoja sometimes. Ndoa Haina fomula. Kuna waliooana wakiwa agemates na wameishi kwa uaminifu...
  7. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Halafu mtu ukiwa masikini unaweza kuwa na masiriko Sana wakati hata kuku wanaweza kufanya mapenzi mbele yako na usiwafanye chochote. Msamehe bure tu mkuu.
  8. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kweli mkuu. Mi nikiona uzi sijaupenda huwa napita kule ili wenye Uzi wao waendelee.
  9. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mkuu, binadamu hatufanani ndo maana HUWEZI kumridhisha kila mtu. Mimi huo undani wa maisha yake na watu aliokutana nao kwangu raha Sana. Kuna vitu vingi navipata kupitia hizo details. Pole mkuu.
  10. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nakuwa mzito kuomba mchango wa harusi

    Kati ya kitu kinachonikera ni michango ya harusi. Huwa sichangii na sitaki watu waje wanichangie kwenye harusi yangu. Uzuri ni kwamba my wife to be hana ulimbukeni wa kufanya show off. Nitaalika marafiki wachache sana. Ukichanganya na ndugu zetu hawatazidi watu 20. Ndoa tunafunga asubuhi siku...
  11. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je unaweza kukubali kurudiana na uyo mwanamke

    Bado unampenda au ulishamfungia mlango na madirisha moyoni mwako? Tuanzie hapo kwanza
  12. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Lazaro Nyalandu?

    I like the voice of the silence
  13. DAFU NA NDIMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumuacha binti kisa analazimisha ndoa

    Wakristo na hasa madhehebu ya kipentekosti hufanya ndoa kuwa ngumu Sana kwa sababu ya harusi. Cha msingi huyu mwenzako mkubaliane kuwa kutakuwa na ndoa bila harusi (kitu ambacho wasichana wengi huwa hawataki kusikia) Akikubali inakuwa rahisi kuwashawishi wazazi wake. Mi nina mchumba kwa mwaka...
Back
Top Bottom