DAFU NA NDIMU
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,496
- 5,099
I like the voice of the silence
Yuko wapi Kalamavi ya bundi? Si alipewa kazi ya kusimania mbona hatuoni cheche zake ilhali anao wasimamia wanabironga kila uchao?Waliokatwa mkia teuzi ni mpaka wabatizwe kwa ubatizo wa moto.
Siyo anajilia bali yule ni mkewe.Anajilia yule miss , faraja Kota sijui kota au kinyume chake 🤷
Ndio kujilia kwenyewe mazeeSiyo anajilia bali yule ni mkewe.