Recent content by Dafia

  1. D

    JamiiForums Tanzania Think Tanks in Tanzania!!!!!!

    Tume ya Taifa ya Mipango ndio National Think Tank ya Tanzania,kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya serikali.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Alizeti (Sunflower): Masoko, Mbinu na Ushauri toka kwa wadau

    mimi sifahamu chochote kuhusu kilimo cha alizeti,ninachofahamu ni kwamba MUZAR OIL walitoa tangazo kwamba wana uwezo wa kununua alizeti yote inayolimwa na wakulima wa nchi hii.Kazi ni kwako
  3. D

    JamiiForums Tanzania Power Plant ya kuchakachua gesi Madiba sawa, Je mitambo ya kuzalisha umeme wapi, Dar au Bagamoyo?

    ndugu zangu tusidanganywe na mabaki power plant ndio mpango mzima
  4. D

    JamiiForums Tanzania Power Plant ya kuchakachua gesi Madiba sawa, Je mitambo ya kuzalisha umeme wapi, Dar au Bagamoyo?

    power plant ikijengwa kinyerezi wanasouth kwishnei,mbona songas inachakatiwa kilwa lakini manufaa ya mabaki hatuyaoni?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri (KWA WANALINDI NA MTWARA) tu

    mahali kitakapojengwa kiwanda cha kuchakata gesi ndipo hapohapo ujengwe mnara wa kumbkumbu ya wenzetu waliopteza maisha
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri (KWA WANALINDI NA MTWARA) tu

    naunga mkono hoja ya kuchangia familia za wenzetu waliopoteza maisha saga la gesi.swala ni jinsi ya kuorganize michango
  7. D

    JamiiForums Tanzania Frem ya biashara inapangishwa manzese

    frem in ukubwa wa kutosha na panafaa kwa biashara yoyote maana ni barabarani,salon,duka la hardware na vifaa vya umeme,makabati ya kawaida au ya kichina nk.kodi inatakiwa kuanzia miezi sita na kuendelea.karibu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Frem ya biashara inapangishwa manzese

    Wandugu kuna frem ya biashara inapangishwa,iko Manzese inatazama Morogoro road.Kodi laki mbili kwa mwezi.Kwa mawasiliano piga 0756785420.
  9. D

    JamiiForums Tanzania vitu vya restaurant vinauzwa kwa pamoja

    weka bei na namba yako ya simu au nipm tufanye biashara
  10. D

    JamiiForums Tanzania biashara gani bado haijapamba moto TANZANIA nA Africa??

    Basi fanya research ukimaliza ndio utuambie
  11. D

    JamiiForums Tanzania Regia Mtema is No More!

    JF tunaomba mwongozo maana wengi tumeguswa na msiba huu na tunatamani angalau kutoa chochote kwa ajili ya kuifuta machozi familia ya Dada Regia. Nashauri kama itawezekana wekeni namba ya Mpesa/Tigo pesa hapo kwenye front page kwa wadau kuchangia au kama utaratibu mwingine ulioandaliwa...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Huo ugonjwa unaitwa ndui. Ilitakiwa uwape chanjo ya ndui walipofikia umri wa miezi miwili. Hivyo cha kufanya wape dawa yoyote ya antbiotic na dawa za mafua pia wape vitamin unaweza kuokoa baadhi.ole sana
  13. D

    JamiiForums Tanzania Duh.. Wadau nitatoka kweli?

    wewe house girl wako unamlipa 380,000?
  14. D

    JamiiForums Tanzania tcaa writing interview

    TCRA je au wameshaajiri tayari?
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkubwa wa wenye vituo vya mafuta 2011!

    mimi nadhani swrikali si legelege bali hii nchi haina serikali kabisa.maana kama aerikali ingekuwepo isingeweza kukaa kimya katika janga kubwa kama hili nilitegemea kusikia tamko na msimamo wa serikali.kwa maana hiyo wafanyabiashara ndio wanoongoza nchi tena wanaongoza kadri wanavyopenda wao.
Back
Top Bottom