vitu vya restaurant vinauzwa kwa pamoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vitu vya restaurant vinauzwa kwa pamoja

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by mabwana, Mar 3, 2012.

1. mabwana

mabwana Member

#1
Mar 3, 2012
Joined: Feb 15, 2012
Messages: 66
Likes Received: 4
Trophy Points: 15
nimeac¨ha wazo la kufungua restaurant vitu vinauzwa kwa pamoja
oven ya gas
machine ya kukandia unga 20kg
juice machine milango 3
ovrn ya kuku wa kuchoma
jiko la viazi ya umeme
machine ya kahawa
salad cutter
hot display ya umeme
hamburger maker
na vingenevyo

2. JoJiPoJi

JoJiPoJi JF-Expert Member

#2
Mar 3, 2012
Joined: Aug 8, 2009
Messages: 2,323
Likes Received: 1,085
Trophy Points: 280
si ungeweka bei yako ya vitu vyote!

3. D

Dafia Member

#3
Mar 3, 2012
Joined: Oct 4, 2007
Messages: 35
Likes Received: 3
Trophy Points: 15
weka bei na namba yako ya simu au nipm tufanye biashara

4. Ndechumia

Ndechumia JF-Expert Member

#4
Mar 5, 2012
Joined: Jul 15, 2011
Messages: 1,017
Likes Received: 19
Trophy Points: 135
upo wap na bei

5. jino kwa jino

jino kwa jino JF-Expert Member

#5
Mar 5, 2012
Joined: Nov 3, 2010
Messages: 769
Likes Received: 5
Trophy Points: 0
hajui biashara huyu

6. BornTown

BornTown JF-Expert Member

#6
Mar 5, 2012
Joined: May 7, 2008
Messages: 1,710
Likes Received: 100
Trophy Points: 160
biashara ya namna hii unaweka model ya hivyo vifaa, bei na picha na unaelezea kama ni vipya ama vimeshatumika lakini hii ya kusema juujuu ni ngumu kwenye biashara

7. Bigirita

Bigirita JF-Expert Member

#7
Mar 5, 2012
Joined: Feb 12, 2007
Messages: 13,604
Likes Received: 349
Trophy Points: 180
Tabu kweli kweli!!

Post ya kumi leo naona watu wanaingia na kuanzisha thread ambayo haieleweki!!

Mkuu, kama unaweza kurekebisha fanya hivyo, weka na namba ya simu!!

8. Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari JF-Expert Member

#8
Mar 5, 2012
Joined: Oct 5, 2007
Messages: 21,283
Likes Received: 3,951
Trophy Points: 280
Unauza vifaa au unauza bsiashara?

9. c

cyruss Senior Member

#9
Mar 6, 2012
Joined: Jan 13, 2012
Messages: 198
Likes Received: 4
Trophy Points: 0
Haeleweki huyo, nahisi amebadili maamuzi , hauzi tena, atatumia nyumbani kwake!

10. serio

serio JF-Expert Member

#10
Mar 6, 2012
Joined: Apr 15, 2011
Messages: 5,622
Likes Received: 772
Trophy Points: 280
bei pliz

11. mabwana

mabwana Member

#11
Mar 16, 2012
Joined: Feb 15, 2012
Messages: 66
Likes Received: 4
Trophy Points: 15
wana jamii vitu ni kukodi malipo ya mwezi sio vya kuuza mwenye kutaka kununua
sawa picha atapata avione

12. zomba

zomba JF-Expert Member

#12
Mar 16, 2012
Joined: Nov 27, 2007
Messages: 17,082
Likes Received: 38
Trophy Points: 0

Unacheza na akili za watu. Hueleweki.

13. P

Pendo29 Member

#13
Mar 16, 2012
Joined: Mar 16, 2012
Messages: 8
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Sa kwann ulianza kusema unauza ungesema unakodisha pia hata kukodisha unaweka na bei ili mtu ajue inalipa au la

Loading...