Frem ya biashara inapangishwa manzese | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Frem ya biashara inapangishwa manzese

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Dafia, May 28, 2012.

 1. D

  Dafia Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 35
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Wandugu kuna frem ya biashara inapangishwa,iko Manzese inatazama Morogoro road.Kodi laki mbili kwa mwezi.Kwa mawasiliano piga 0756785420.
   
 2. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tujitahidi kuongeza ubunifu kidogo kwenye matangazo yetu,eleza ukubwa wa fremu yenyewe na pia aina ya biashara inayofaa kulingana na ukubwa wa frem na eneo husika.Kodi inahitajika ya muda gani sio lazima upigiwe simu kuulizwa mambo haya unatakiwa upigiwe simu tayari kwa kulipiwa fremu.
   
 3. D

  Dafia Member

  #3
  May 28, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 35
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  frem in ukubwa wa kutosha na panafaa kwa biashara yoyote maana ni barabarani,salon,duka la hardware na vifaa vya umeme,makabati ya kawaida au ya kichina nk.kodi inatakiwa kuanzia miezi sita na kuendelea.karibu
   
Loading...