Recent content by DadiJFM

  1. DadiJFM

    Nimeshuhudia mtu akikata roho LIVE

    Hakuna mchepuko utakaokaa na wewe mwanaume katika hali kama hiyo. Tuwapende tu wake zetu hata kama wana mapungufu yao kwa sababu hata sisi wanaume tuna mapungufu yetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. DadiJFM

    Siku za Hussein Bashe ndani ya CCM zinahesabika!

    Hivi ujinga na upumbavu, hata km unafanywa na chama chetu tuukubali tu kwa sababu ni chama chetu? Huu si uzalendo!!!
  3. DadiJFM

    Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  4. DadiJFM

    Tetesi: Eti Koffi Olomide amefariki.

    He is alive.
  5. DadiJFM

    Tetesi: Eti Koffi Olomide amefariki.

    Kuna wakati alizushiwa kavuta lakini mwenyewe akaibuka na kukataa hadharani.
  6. DadiJFM

    Tetesi: Eti Koffi Olomide amefariki.

    Hiyo post inaonekana ni ya January 2017.
  7. DadiJFM

    Nchi ambazo ni hatari kwa watu weusi kuishi/kutembelea

    The most racist countries in the world
  8. DadiJFM

    Nchi ambazo ni hatari kwa watu weusi kuishi/kutembelea

    Nikiwa India New Delhi na Jaipur nili-experience hali hii. Ukikatika mtaani unaitwa Nyani na ukirudisha majibu, kwa mfano uwaite wao Nguruwe, basi utachezea kichapo. Pale chuoni walitutahadharisha kuwa tusijibu chochote. Ukiingia kwenye usafiri wa umma unaweza ukatolewa kwenye kiti kwa sababu...
  9. DadiJFM

    Madhara ya kutembea na mke wa mtu

    Yeah! Ni kweli.
  10. DadiJFM

    Ngumu lakini hakuna namna: Rais Magufuli mteue Mwigulu wizara ya fedha

    Behind the Scene inawezekana kuna jambo ndo maana Mwigulu hakuchaguliwa wizara ya fedha.
  11. DadiJFM

    Prof. Shivji: Sina cha kuongeza wala kupunguza kuhusu Karipio Magazeti Mawili

    Kutokuwa na maoni pia ni sawa kabisa. Hataki kutoa kauli zitakazo onekana za uchochezi.
  12. DadiJFM

    Tanzania njia panda: Benki ya Dunia ina hisa mgodi wa Dutwa uliofutiwa leseni kujenga tenki la maji

    Dah! Ni hatari sana. Hili si mojawapo ya magazeti chochezi??? [emoji126][emoji126][emoji188][emoji188]
  13. DadiJFM

    Rais Magufuli apangua safu ya Makatibu wakuu. Mafuru atemwa Hazina, Ole Sendeka RC Njombe

    Ndulu the Prof nae yuko njiani, #kajiandae
Back
Top Bottom