Recent content by dadi5

  1. dadi5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

    Ulipiga?
  2. dadi5

    JamiiForums Tanzania PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Wadau Msaada Namna ya Kulipata Kwa walio download ….Niko Dar natanguliza shukrani zangu za dhati
  3. dadi5

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tajiri akiweza ainunue Arsenal kama timu yetu ya wanawake
  4. dadi5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliyempata Love Connect anataka pesa muda wote la sivyo ananuna

    Umepiga?
  5. dadi5

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakafie mbele sisi tunahesabu 3 points
  6. dadi5

    JamiiForums Tanzania Je, nimekosea kuwapotezea baadhi ya ndugu zangu? Naomba ushauri tafadhali

    Afrika huruma yako ndio sababu ya umauti wako
  7. dadi5

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Nisamehe sana mkuu,tayari nimeshajibu japo sina hakika kama utaridhika
  8. dadi5

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Habarini, Kwanza mnisamehe kwa kuwa nilikuwa ni tight kidogo na majukumu. 1. Control box ilikufa(Nimejiridhisha baada ya kwenda kupima sehemu nyingine). 2. Tatizo liliendelea kwa kuwa Control box mpya ilikuwa inapishana/haisomani na Nozzle. Hivyo ikabidi tubadilishe Nozzle mbili zilizokuja na...
  9. dadi5

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Sawa mkuu
  10. dadi5

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Wakuu nashukuru sana kws ushauri wenu wa kwenye uzi pamoja na inbox nipende kuwajulisha kuwa tatizo langu limetatulika......ingawa nilichojifunza ni kuwa asilimia kubwa ya Mafundi wetu wana uwezo mdogo na hawataki kwenda na mabadiliko....Hakika mmeupiga mwingi mnooo [emoji120][emoji120]
  11. dadi5

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Nashukuru sana kwa ushauri
  12. dadi5

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Naweza pata Contact zao mkuu
  13. dadi5

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Ndio ninaowatafuta mkuu
  14. dadi5

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    [emoji1787][emoji1787]
  15. dadi5

    JamiiForums Tanzania Msaada wa fundi mzuri wa Nissan Dualis

    Ndio mkuu naendelea kuchukua ujuzi hapa
Back
Top Bottom