Nimemsomesha, nimegharamika, leo kaniacha anaolewa na mtu mwingine

Pole
Wenzio tulikuwa tunahonga hadi laptop na bado mwisho wa siku baada ya karibu miaka07 ya mahusiano mtu anakwambia nimempata docta mwenzangu. I just moved on nikapata mwingine na kuoa ameni bless watoto 2 me na ke.

Upande wa pili jamaa alimdaganya kumbe alikuwa mme wa mtu.
Alipoona yameisha mapenzi kule akarudi kwangu analia nikasema stop .

Aliolewa tena lkn analia daily ule upando niliompa mwanzo haupati tena. Anasema nimsamehe labda nafsi itatulia nae afurahie maisha.
Thanks God.
Bro just move on
 
Back
Top Bottom