Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,621
Yule mzee wa kukokotoa bili za ajabu hadi unashangaa katoka nazo wapi.Nipe mrejesho mzee.... Nishamsikia sana... Shida nini pale???
Yule mzee wa kukokotoa bili za ajabu hadi unashangaa katoka nazo wapi.Nipe mrejesho mzee.... Nishamsikia sana... Shida nini pale???
Duuh pole sana mzee...Yule mzee wa kukokotoa bili za ajabu hadi unashangaa katoka nazo wapi.
Shida ilikuwa ni nini mkuu...Wakuu nashukuru sana kws ushauri wenu wa kwenye uzi pamoja na inbox nipende kuwajulisha kuwa tatizo langu limetatulika......ingawa nilichojifunza ni kuwa asilimia kubwa ya Mafundi wetu wana uwezo mdogo na hawataki kwenda na mabadiliko....Hakika mmeupiga mwingi mnooo
Majanga yalikuwa ni nini?!Wakuu nashukuru sana kws ushauri wenu wa kwenye uzi pamoja na inbox nipende kuwajulisha kuwa tatizo langu limetatulika......ingawa nilichojifunza ni kuwa asilimia kubwa ya Mafundi wetu wana uwezo mdogo na hawataki kwenda na mabadiliko....Hakika mmeupiga mwingi mnooo
Mkuu kama hutojali ungeweka pia na mawasiliano ya fundi aliyetatua shida ya gari lako na anapopatikana ingesaidia na wengine leo na hata baadae. Maana kama mwenyewe ulivyokiri mafundi wengi uwezo mdogo so ukimtaja huyo fundi itasaidia kwa wengine kuokoa muda na pesa pia watakushukuru sana maana utakuwa umesaidia wengiWakuu nashukuru sana kws ushauri wenu wa kwenye uzi pamoja na inbox nipende kuwajulisha kuwa tatizo langu limetatulika......ingawa nilichojifunza ni kuwa asilimia kubwa ya Mafundi wetu wana uwezo mdogo na hawataki kwenda na mabadiliko....Hakika mmeupiga mwingi mnooo
Sawa mkuuMkuu kama hutojali ungeweka pia na mawasiliano ya fundi aliyetatua shida ya gari lako na anapopatikana ingesaidia na wengine leo na hata baadae. Maana kama mwenyewe ulivyokiri mafundi wengi uwezo mdogo so ukimtaja huyo fundi itasaidia kwa wengine kuokoa muda na pesa pia watakushukuru sana maana utakuwa umesaidia wengi
zimepakiwa nyingi tuu mjini zimepungua sanaa tuliwambia
Shida ilikuwa ni nini mkuu...
Na ulitatuaje..
Tueleze ili isaidie wwngine watakaopata shida kama hiyo
Mkuu kama hutojali ungeweka pia na mawasiliano ya fundi aliyetatua shida ya gari lako na anapopatikana ingesaidia na wengine leo na hata baadae. Maana kama mwenyewe ulivyokiri mafundi wengi uwezo mdogo so ukimtaja huyo fundi itasaidia kwa wengine kuokoa muda na pesa pia watakushukuru sana maana utakuwa umesaidia wengi
Daah.....baada ya wadau kuomba utueleze ni nini ilikuwa changamoto na ulitatuaje ili iwe faida kwa wengine,Sawa mkuu
Sijapenda kabisa tabia yake hii. Amekataa kushare nasi alichokuta huko.....Daah.....baada ya wadau kuomba utueleze ni nini ilikuwa changamoto na ulitatuaje ili iwe faida kwa wengine,
Umefunga mjadala kwa kusema "sawa mkuu"
Point namba 2.Habarini,
Kwanza mnisamehe kwa kuwa nilikuwa ni tight kidogo na majukumu.
1. Control box ilikufa(Nimejiridhisha baada ya kwenda kupima sehemu nyingine).
2. Tatizo liliendelea kwa kuwa Control box mpya ilikuwa inapishana/haisomani na Nozzle. Hivyo ikabidi tubadilishe Nozzle mbili zilizokuja na Gari(Matengenezo ya awali nilibadili Nozzle 2)
3. Baada ya Matengenezo hayo ikatumika Diagnosis tool kwa ajili ya Kufuta errors.
Baada ya hayo yote Gari imetulia
NILICHOJIFUNZA
Mafundi wetu bado ni Tatizo (Tatizo dogo ninetumia muda mrefu na Gharama kubwa) ndio maana napata ukakasi kushare contact kwakuwa waliotatua ndio waliokosea Mwanzoni hivyo kama nikikupa contact ujue ni AT YOUR OWN RISK
Sawa mkuu ngoja nikasome kwanza nijiridhishe....Nisamehe sana mkuu,tayari nimeshajibu japo sina hakika kama utaridhika
Cvt oilMtaalam wa codes JituMirabaMinne atakupa ushahuri wa kitalaam.
Ila ninavojua jua kdg:
P0304 misfire cylinder no.4
P0141 & P0135 Oxygen sensor ina issue.
Mimi ningeuliza yafuatayo:
1. Coil na Plug zipoje?
2. ATF na oil zipoje?
Habarini,
Kwanza mnisamehe kwa kuwa nilikuwa ni tight kidogo na majukumu.
1. Control box ilikufa(Nimejiridhisha baada ya kwenda kupima sehemu nyingine).
2. Tatizo liliendelea kwa kuwa Control box mpya ilikuwa inapishana/haisomani na Nozzle. Hivyo ikabidi tubadilishe Nozzle mbili zilizokuja na Gari(Matengenezo ya awali nilibadili Nozzle 2)
3. Baada ya Matengenezo hayo ikatumika Diagnosis tool kwa ajili ya Kufuta errors.
Baada ya hayo yote Gari imetulia
NILICHOJIFUNZA
Mafundi wetu bado ni Tatizo (Tatizo dogo ninetumia muda mrefu na Gharama kubwa) ndio maana napata ukakasi kushare contact kwakuwa waliotatua ndio waliokosea Mwanzoni hivyo kama nikikupa contact ujue ni AT YOUR OWN RISK
Naona alikuja kujibu baada ya watu kuuliza sanaSijapenda kabisa tabia yake hii. Amekataa kushare nasi alichokuta huko.....
Tunaomba elimu kidogo namna ya kuregister nozel..Point namba 2.
Mlitakiwa kuregister hizo nozzle Yaani injector coding.
Next time unaweza kubadili nozzle mpaka kichwa kiume na tatizo likawa bado lipo.
Alitaka atrendi! Si unajua masifa ya wana JF asionekane kanunua Toyota 😅KHA! YAN ule Mkopo 18M tuliokupitishia hapa HR ndio ukaenda kununua Nissan
Pumbafu kabisa hukuona Toyota wanaProduct nyingi ambazo zipo durable ununuwe!