Wapendwa habarini.Mimi ni Mtumishi wa Umma nipo Dodoma.Nina nyumba yangu nimeijenga Boko. Nilimaliza kuijenga Mei mwaka huu na Juni nikapata Mpangaji(Mme na Mkewe).
Nilishukuru maana Mpangaji huyu alijitambulisha kwamba ni Mfanyabiashara anayefuata mizigo China hivyo yupo busy sana, alinilipa...
Nami nashauri aende Halmashauri,hilo Shirika la Good Neighbours ni la Kikorea ndugu yangu aliwahi kufanya kazi mwaka 2022 kisha akaacha. Lina mambo ya kipuuzi kuhamasisha USHOGA kwa kaya maskini vijijini kwa kisingizio cha kutoa misaada. Ofisi zao zipo Boko CCM pale pembeni ya Barabara. Kwa...
Subiri zije zile MBUZI mbili MKOREA na HAMIS zikujaze UONGO kuhusu uzuri wa Kai[emoji28][emoji28]zilisema Arsenal leo anashinda mkono,ndio maana huwa ninazotukana maana hazina akili
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Si huwa mnadanganywa na zile MBUZI kina HAMIS na MKOREA kwamba mnashinda nyingi sijui mkono as if Mpira ni kitu rahisiiiiiiii
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Huyo HARVETZ acha kumtaja kama mchezaji wa muhimu saaaana,anajaza idadi tu wachezaji, ningekuwa na mamlaka ningemuondoa hata December hii
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ok basi mimi ni Mkongwe,kwetu ni mitaa ya Mlamke Sekondari hapo nyuma ya Embakassy,Ilala nilimaliza 1993
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Nami ni mwenyeji mitaa hiyo ya Ilala,nimesoma Ilala Primary
Hebu naomba code za huyo Marehemu pengine namfahamu aisee
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ishi Dar ukiwa na maisha mazuri,sio ugombanie Mwendokasi na Madaladala kila siku,sio uishi Chumba kimoja na majiko na mitungi ya gesi,sio uishi nyumba kwenda kuoga ni kwa foleni,ni kupoteza muda
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mimi leo na PhD yangu kichwani lakini Dar nakuja kikazi tu na kurudi Mkoani kwa sababu Mkoani ndio kila kitu, kumbuka Ajira nilianzia Dar hapo na nina uwekezaji wa nyumba kadhaa lakini leo ukiniambia nirudi Dar kuishi ni mbinde.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kuishi kwako Dar una Salio shilingi ngapi kwenye Akaunti yako ya Bank au ndio walewale walamba lips kusindikiza wengine?
Huko unakokukandia ndiko kuna watu darasa la Saba tu au Form Four lakini akikuonyesha balance yake Bank unaweza ukajikojolea,acha ushamba wa kudhani Dar ndio kila kitu
Sent...
Namfahamu tangu akiwa anapiga Debe Daladala za Stesheni Mwananyamala pale Manyanya,alikuwa Teja aliyekubuhu na Mkwapuaji wa Simu hatari,nilimtia sana PINGU enzi zangu nikiwa Oysterbay
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kama wao wenyewe ndio wenye Serikali wanaishia kulalamika na kunyosheana Vidole,sijui sisi raia tufanyeje[emoji1745]Nchi imejaa mijizi imekuwa shida tu
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.