Recent content by dabo kliki

  1. dabo kliki

    Kanisa lateketea kwa moto TUNDUMA

    Hata muislam mmoja anatosha kuchoma makanisa 1000 na zaidi, hapa kinachotakiwa ni dhamira tu!
  2. dabo kliki

    Wanaoleta vurugu za kidini wanadekezwa

    Kweli jembe hukatika mpini siku ya mavuno, nchini yetu inaanza kuwa na mafanikio na sisi tunaanza kuivuruga! Ndugu zangu Watanzania bara na visiwani. Nakuja kwenu nikiwa na heshima kubwa kuwaomba tuvumiliane katika masuala ya imani zetu. Ebu tujiulize tupeane majibu ya maswali haya na kama kuna...
  3. dabo kliki

    Wanaoleta vurugu za kidini wanadekezwa

    Ndugu zangu Watanzania bara na visiwani. Nakuja kwenu nikiwa na heshima kubwa kuwaomba tuvumiliane katika masuala ya imani zetu. Ebu tujiulize tupeane majibu ya maswali haya na kama kuna wenye maswali zaidi wayaweke hapa jamvini ili tupeane majibu. Je Mungu alishindwa kuweka dini au imani moja...
  4. dabo kliki

    Vurugu za Mbagala ni zaidi ya mnachokifahamu - Oh Tanzania!

    Bonge la thread. I salute you! Mungu hakukosea kuacha binadamu tuwe na dini tofauti na hakika Mungu hakushindwa kutufanya sote tuwe dini moja, Wiki nzima nipo na staff wenzangu waislam hauna raha kabisa, hivi unapata picha gani kwenye vurugu kama zile kiongozi wa dini nae anakuwepo mstari wa...
  5. dabo kliki

    Ripoti nzuri kutoka TBC1

    Hivi tbc1 bado ipo? Kuna watu wanaiangalia. Poleni sana sisi tulishaisahau ila wawe wanapita pita humu ni pazuri sana na hakika jf ni zaidi ya chombo chochote cha habari hapa east africa
  6. dabo kliki

    Ndumba Mchana Kweupeeeee Mweee

    Anafanana sana na wasira wa ccm
  7. dabo kliki

    Tanzania imeuzwa kwa Uingereza!

    Nimekuwa nafuatilia taarifa toka serikalini muda mrefu sasa kuwa kati ya nchi zilizowekeza hapa TZ nchi ya Uingereza ndo inaongoza ikifuatiwa na Kenya. Ni jambo zuri kupata wawekezaji japo Tz tumekuwa na bahati ya kupata wadekezwaji. Sasa naomba kujuzwa kwa mwenye kujua pasi na shaka ni kwenye...
  8. dabo kliki

    Utajiri wa Daniel Yona unatisha!

    Ebu ona maisha ya watoto wa walipa kodi wa nchi hii wakati watu wanakula nchi na kujenga mahekalu huko....
  9. dabo kliki

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Kila siku wao tu wanaonewa.... Sasa nakubali bahati mbaya kweli huwapata watu wadhaifu!
  10. dabo kliki

    Mtimanyongo wa ITV kwa chama cha CUF.

    Nijuavyo itv wana utalaam mdogo sana kwenye kupika matukio. Hakika mleta mada yupo sawa ila amekosea heading kusomeka itv badala tbc
  11. dabo kliki

    Elimu yetu karne ya 21

    Bado tuna safari ndefu sana kufikia maisha bora kwa kila mtanzania
  12. dabo kliki

    Utawala wa BMW

    Hatari!Angalia watoto wa Vigogo waliopita UVCCM ngazi ya taifa DICKSON MEMBE,FRED LOWASA,RIDHIWAN KIKWETE,ASHURU HUSEN MWINYI,BENY SAMWEL SITA,DEBORA MWANDOSYA,IREN PINDA,FELSTER NDUGAI,CHRISTOFER NDEJEMBI,SHARIFAR BILAL,HAWA KIGODA,JUDITH MUKAMA na JAROME MSEKWA. Nchi hii imekwisha,Inatia...
  13. dabo kliki

    Jamani Mke huyu amenishinda...anagawa kama pipi

    Acheni jamaa ale kidogo maana kasotra sana. Toka mwaka juzi anasotea wakifikia patamu kutaka kumpa anakimbia dakika za mwisho.
  14. dabo kliki

    UVCCM mwendo wa kuchapana kama CUF enzi hizo... Sasa ni Mara

    Tatizo hapa wapiga kura walikuwa hawajanywa "chai"
  15. dabo kliki

    Jamani Mke huyu amenishinda...anagawa kama pipi

    Grafan11, Mimi sielewi kwanini waliamua kutunyima lakini wakaenda kumpa Mtu wa mbali kiasi hicho! Tena wakaamua kabisa kumpelekea kwa ndege kabisa duh!
Back
Top Bottom