Mkali Tozz
JF-Expert Member
- Aug 9, 2012
- 278
- 81
Huyo sio yule mbunge wa kusini kweli! nambari one eee nambari one CCM
Mbona kama anafanana na kaka mkubwa flani aliyewahi kuwa member humu,!? au ni majicho yangu yananidanganya!!
Mizee ya wana magamba wakiwa mlingotini,wenyewe wanapenda kwelikweli!
Huyo sio yule mbunge wa kusini kweli! nambari one eee nambari one CCM
Huyo sio yule mbunge wa kusini kweli! nambari one eee nambari one CCM
Mbona huyu kama lemutuz a.k.a le kibonge.
Anafanya hivyo ili ng'ombe waongezeke..Waafrika tuna shida kweli. Do you think ng'ombe wanaweza kuongezeka kwa kuoga kwenye banda lake,,
Mbona huyu kama lemutuz a.k.a le kibonge.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums