Wanaoleta vurugu za kidini wanadekezwa

Mambo ya Rwanda 94 Zanzibar kwani Radio Al Nuur sasa havi ndio inatangaza kwamba Jitolee roho yako na Mali zako kwani Mtume anazinunua na Malipo makubwa mno ambayo ni Pepo. Yasema toa roho ya Kafir na ikiwa kakuzi basi una malipo makubwa kwa vyovyote vile
Dah!kama dini hii imeshushwa na MUNGU,basi huyu MUNGU ni zaidi ya nimjuavyo.
 
Ndugu zangu Watanzania bara na visiwani. Nakuja kwenu nikiwa na heshima kubwa kuwaomba tuvumiliane katika masuala ya imani zetu. Ebu tujiulize tupeane majibu ya maswali haya na kama kuna wenye maswali zaidi wayaweke hapa jamvini ili tupeane majibu.
Je Mungu alishindwa kuweka dini au imani moja tu kwa binadam wote?
Je Mungu hajui kuwa huku duniani binadam wana imani tofauti?
Je tungekuwa na iman moja kwa wote tusingetofautiana kwa mambo mengine?
Je kwa mtu mwenye imani tofauti na usiyoipenda wewe tumfanyeje?
Je ni kosa au dhambi kwa mtu kufanya, kuamini au hata kula kitu ambacho imani yako haikubali?
Je wewe unadhurika nini kwa mwenzio kuamini anachoamini yeye?
Je unaamini kuchoma makanisa kuiba mali za kanisa ni suluisho la imani?
Je ni haki kumlazimisha mtu Kukubali imani yako wewe ili kutimiza matakwa ya imani yako?
Je ulaya na arabuni wanalazimishana na kuchukiana sababu ya imani zao kuwa tofauti?
Je dhambi ni kula nguruwe pekee? Kuua, kuiba, kusema uongo, kudhalilisha binadamu mwingine si dhambi?
Je kuangamiza kizazi kimojawapo litakuwa suluhisho la kudumu?
Je tumekubali kuuana na kutengana sababu ya dini za mapokeo?
Naomba mwenye nondo zaidi kwa maana ya maswali na majibu aweke ili tupate suluhu ya kudumu kwani adui yetu si uislam wala ukiristo! Kuna kitu cha ziada ndani yetu.
 
ADUI WETU NI ELIMU, JAZBA na UMASKINI. watu wanakosa elimu ya kuheshimiana na kuvumiliana ili watu wote waishi vizuri. WATU WANAKOSA KAZI YA KUFANYA na kuanza kufuatilia mambo yasio na msingi kama vile kuchoma makanisa.watu nao wapunguze jazba maana madhara yake ni makubwa na badala yake wakae chini wazungumze na waelewane!
 
Eeeeh! Dola inakumbukwa na kuwa ya maana pale mnapohisi usalama kupoteaee! Mbona wakati mwingine hamwathamini mnawatukana kutwa nzima. Shauri yenu alimradi mi nina silaha nitajilinda mwenyewe, wanangu na ndugu zangu.
 
Kwani Baba Mwana Asha yuko Tz hahaha yule jamaa ameichoka hii nchi na hakika itamshinda

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nguvu za ziada hutumika kudhibiti CDM, pasipo sababu yoyote. Kwa nini nguvu hizo zisitumike kudhibiti wavunja amani wa kweli? Au serikali inashabikia yanayoendelea!

Kuna tofauti hapa CHADEMA wanatishia uhai wa dola ya CCM lakini hizi vurugu za kidini zimepandikizwa ili kuwagawa watanzania ili CCM iendelee kuwa na dola.
 
SIDHANI KAMA NDUGU ZETU WAISLAMU WATAIGA YALE YA UARABUNI KULE,MAANA WAO NI WASTAARABU HASWA HAWAIGI MAMBO YA KIJINGAX2 ETI KWA SABABU WALIJISAHAU/KUSAHAULIWA KIDOGO TU.KIUKWELI WAO NI WASTAARABU,WANYENYEKEVU,WAVUMILIVU,WAUNGWANA,WAADILI NA WACHA MUNGU KWELIx2.ISIKUTE WALE WANAOCHOMA MAKANISA WAKAWA NDANI YA UKIRISTO KWA MASHINIKIZO YA KISIASA.MUNGU IBARIKI TANZANIA.

weeeee
 
martyr2012 Kama ni kweli Mkapa aliua watu basi lipiza kwa Mkapa na sio raia wasio na hatia wa Mbagalla au sehemu nyingine je wenyewe ndiyo wameua watu Pemba!!.

Mtoto ni mtoto tu awe Mkristo wala mwislamu na ni ujinga kumpeleka mtoto wa miaka 14 mahakamani.

Rais wa Tanzania wa sasa si Mkristo, Jaji mkuu si Mkristo, Mkuu wa Polisi si Mkristo, Raisi wa Zanzibar na makamu wote si wa Kristo sasa je ni kwanini unasema wanaonewa na nani wakati viongozi wote wakuu ni waislamu!. Ukweli ni kwamba hakuna mtu anayeonewa na watu wanatafuta sababu za ugomvi na utamaduni wa ugomvi.

Tusidanganyane kwamba wanaoleta fujo sasa ni kwasababu ya Mkapa ambaye alikuwa raisi miaka zaidi ya 7 iliyopita. Maendeleo ya waisilamu hayazuiliwi na yeyote bali fikra tu Zanzibar kuna Waislam 99% wa waziri mmoja tu mkristo sasa elimu duni ya Zanzibar inatokana na utamaduni na si vinginevyo.

Acheni kulalamika kila siku fanyeni kazi kwa bidii na shirikianane kwa maendelo badala ya kuingia hisia na ubaguzi wa dini ambao haupo na kama upo si kwa waislamu ukiangalia watawala wetu!!!
 
Last edited by a moderator:
Acha izo zako mkuu, sio kweli waislamu wanadekezwa . waislamu wamedharirishwa na kile kitendo ila wanakosea kutoa hasira zao kwa kuchoma makanisa! NIHESHIMU NA WEWE NIKUHESHIMU!
 
Serikali inadekeza; je, nani analipa Gharama za utengenezaji? Mtoto wa miaka 14? Serikali? Walioshitakiwa? Au nani?

Huwezi kuamka tu na hasira zako nyingine na kwenda kuchoma sehemu ya ibada ya watu wengine ambao hawajafanya kitu chochote kuthalilisha dini yako na wana amani.

Huku nchi za watu, pamoja na demokrasia ukienda kuchoma kanisa au nyumba ya mtu na ukapigwa risasi hakuna kesi! lakini serikali imekuwa ikiwadekeza wahalifu kwa muda mrefu sasa kama hawawezi wawaruhusu watu wajilinde na silaha!
 
hawa waislam washatuzarau siye wakristo kwa sababu tu ya elimu yao ndogo ya madrasa lkn mwisho wao unakaribia ukizingatia hawafiki hata laki tano nchi mzma.wameshaona nchi ni ya kwao kisa baba mwenye nyumba ni wa kwao uvumilivu utatushinda bwana.

Kama waislam wako laki tano Tanzania je albino watakuwa wangapi? Ka chambe ulalwe wewe
 
Back
Top Bottom