Recent content by D4D

  1. D4D

    TANGA: Coaster lagonga Lori kwa nyuma maeneo ya Lusanga, watu kadhaa wapoteza Maisha

    Ujasikia moro lori na basi baada ya kugongana yamesababisha kifo cha mwendesha baiskeli
  2. D4D

    Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    Iv ni kweli humjui dj mack au unaleta swaga tu kwa sabb huyu dj mkongwe kabisa
  3. D4D

    Bongo Movies kumshitaki DJ Mark (Anayetafsiri movies za nje)

    Dj mark ndio mkongwe kuliko dj muphfy
  4. D4D

    JB: filamu ya Tunu ni tofauti na hizi zetu za bongo movie…!!!

    Wametuboa kwa kuzua filamu za kizungu sasa izo zao watanunua wenyewe
  5. D4D

    Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Ivi kazi ya kuikosoa serikali ni ya wakatoliki tu je waislamu, je makanisa mengine wao hawana wajibu huo wa kuikosoa serikali pale inapokosea suala hili ni la dini zote sio kusema wakatoliki tu ndio wenye jukumu ilo kila dini inawajibu huo
  6. D4D

    Tundu Lissu chagua moja, siasa au urais wa TLS unatuchanganya

    Ashapita sasa! Tundu lissu oyeeeeeeeeeee
  7. D4D

    Ushauri: VETA au kurudia kidato cha nne?

    Wanapokea ila kwa asilima ndogo kulingana na mabadiliko yaliyopo
  8. D4D

    Ushauri: VETA au kurudia kidato cha nne?

    No awe na cheti cha form 4 angalau D nne ktk masomo yake
  9. D4D

    Ushauri: VETA au kurudia kidato cha nne?

    No awe anacheti cha form four tu angalau D nne
  10. D4D

    Ushauri: VETA au kurudia kidato cha nne?

    Kwa mfumo uliopo saizi veta ukimaliza level two na ukapasi vizuri masomo yote unaweza kujiunga na vyuo vikuu vya ufundi kama vile MUST MBEYA KWA AJILI YA KUSOMEA DIPLOMA ila lazima usome bridging courses miezi miwili lakini ukimaliza level three unaenda kujoin moja kwa moja bila kupitia bridging...
  11. D4D

    Ushauri: VETA au kurudia kidato cha nne?

    Sijakielewa Mkuu fafanua vizuri swali lako
  12. D4D

    Tundu Lissu chagua moja, siasa au urais wa TLS unatuchanganya

    Hakuna kibaya hapo ndungu, lissu yuko sahihi tu kugombea TLS. Mbona viongozi wengi wana majukumu mawili mawili
  13. D4D

    Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    Mimi ni mkristo wa RC unajuwa kila unachoulize ukisoma maandiko matakatifu majibu unapata pia katika maandiko matakatifu yanaimiza kutokudharau imani ya mwezio, pia tumia lafudhi nzuri ndungu unapoandika mambo yanayohusu MUNGU,
  14. D4D

    Ushauri: VETA au kurudia kidato cha nne?

    Duuu nyie mnafikiria Veta ndio kimbilio la walioshindwa Veta kwa sasa haifundishi ufundi pekee yake kuna masomo mengine pia kama BASIC MATHEMATICS, ENGINEERING SCIENCE, TECHNICAL DRAWING,COMPUTER APPLICATION, LIFE SKILLS,ENTREPRENEURSHIP,ENGLISH & COMMUNICATION SKILLS, Kwahyo kama unataka...
Back
Top Bottom