Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
VETA ni sehemu sahihi kabisa
Tafadhali naomba msaada.Rekebisha andiko lako mkuu
Salaam wa ndg!
Nina kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha mwaka huu ila amepata daraja la 4 points 27, katika shule ya kata kunduchi beach.
kwa kifupi alikuwa anamaendeleo mazuri akiwa shule ya msingi na hadi alipofika kidato cha 2 , kuanzia hapo maendeleo yake yalishuka sana na akawa na utovu wa nidhamu shule na kimasoma ila akiwa nyumbani ni mtoto mtaratibu sana na nidhamu ya hali ya juu.
Sasa ndg zangu wana jamvi naombeni ushauri wenu kwa kijana wangu nimpeleke VETA au arudie kidato cha 4 ili kwamba apate alama za kumpeleka O'LEVEL?
Nimemuuliza kwa jinsi matokeo yalivyokuwa mabaya atafanyaje kujiendeleza? AKAJIBU eti anataka kuwa Polisi.
Watu wamesoma kata na wamepiga division one.Kata hukohuko kuna watu wanafaulu
Salaam wa ndg!
Nina kijana wangu wa kiume amemaliza kidato cha mwaka huu ila amepata daraja la 4 points 27, katika shule ya kata kunduchi beach.
kwa kifupi alikuwa anamaendeleo mazuri akiwa shule ya msingi na hadi alipofika kidato cha 2 , kuanzia hapo maendeleo yake yalishuka sana na akawa na utovu wa nidhamu shule na kimasoma ila akiwa nyumbani ni mtoto mtaratibu sana na nidhamu ya hali ya juu.
Sasa ndg zangu wana jamvi naombeni ushauri wenu kwa kijana wangu nimpeleke VETA au arudie kidato cha 4 ili kwamba apate alama za kumpeleka O'LEVEL?
Nimemuuliza kwa jinsi matokeo yalivyokuwa mabaya atafanyaje kujiendeleza? AKAJIBU eti anataka kuwa Polisi.
Duuu nyie mnafikiria Veta ndio kimbilio la walioshindwa Veta kwa sasa haifundishi ufundi pekee yake kuna masomo mengine pia kama BASIC MATHEMATICS, ENGINEERING SCIENCE, TECHNICAL DRAWING,COMPUTER APPLICATION, LIFE SKILLS,ENTREPRENEURSHIP,ENGLISH & COMMUNICATION SKILLS,
Kwahyo kama unataka kumpeleka veta pia lazima akajitume huko sio lelemama
Swali ilo mkuuSijakielewa Mkuu fafanua vizuri swali lakoIvi anaekwenda VETA! na anaeanza certificate wanakua level Sawa?
Yan anae anza kusoma veta na Yule anaeanza certificate wanakua level SawaSijakielewa Mkuu fafanua vizuri swali lako
Kwa mfumo uliopo saizi veta ukimaliza level two na ukapasi vizuri masomo yote unaweza kujiunga na vyuo vikuu vya ufundi kama vile MUST MBEYA KWA AJILI YA KUSOMEA DIPLOMA ila lazima usome bridging courses miezi miwili lakini ukimaliza level three unaenda kujoin moja kwa moja bila kupitia bridging courses.Yan anae anza kusoma veta na Yule anaeanza certificate wanakua level Sawa
Mkuu hata wadarasa lasaba anaweza fanya hivyo?Kwa mfumo uliopo saizi veta ukimaliza level two na ukapasi vizuri masomo yote unaweza kujiunga na vyuo vikuu vya ufundi kama vile MUST MBEYA KWA AJILI YA KUSOMEA DIPLOMA ila lazima usome bridging courses miezi miwili lakini ukimaliza level three unaenda kujoin moja kwa moja bila kupitia bridging courses.
No awe na cheti cha form 4 angalau D nne ktk masomo yakeMkuu hata wadarasa lasaba anaweza fanya hivyo?
Kimsingi huyo kumwambia kurist ni kupoteza muda tu kama alishakwambia kwenda polisi unaweza kumpeleka veta kwanza akasomea fani kama ya magari,umeme nk. af atakapomaliza ndo lifuate hilo la kwenda polisi.Salaam wa ndg!