Game kali kwangu mimi litabaki kuwa fifa 22 ila kuendelea hapo cjui Eafc 25&26 ni utopolo, kwanza ni ngumu kutoa cleansheet hata ukicheza na kibonde akibinyiza triangle na box anakufunga
Japo sipo hapa kutetea udhalimu wa watawala ila ogopa mtu anayetii na kufwata maagizo ya mtu fulani anaweza kukugeuka muda wowote, rejea mtwara lile sekeseke la kudai gesi wanajeshi walimwaga mtaani kupika raia baada ya aliyekuwa waziri mkuu (Mizengo pinda) kusema "wapigwe tu" watu walichakaa sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.