Mkopo NMB nimeomba nimeshapewa hela nimetumia Lakini mfumo umeganda na Submitted for disbursement miezi 2 sasa mtumishi unashindwa Kuomba mkopo mwingine ufanye yako ukifuatilia hupewi masuhisho ya mana Hii mfumo tumeletewa lakini hatukujipanga kuisimamia na kuiendesha ni upuuzi mtupu
Kuna vinchi viko hapo North Africa tu vinajibaraguza kwamba wao sio Waafrika.
Vipi unaweza pata maendeleo wewe kwa kuwakataa na kuwakana watu wa Damu yako kabisa
Wanaume tumepewa wanawake wawe mashamba yetu .
Wanawake ni maua ya Dunia.
Wanawake hawaamui kuwa na mtu kwa kuwa anampenda.
Kazi ya mwamke ni kuheshimu tu Sio kupenda kupenda ni kazi ya mwanaume.
Asante!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.