'Lumumba buku 7' ni ajira rasmi?

'Lumumba buku 7' ni ajira rasmi?

Wakubwa zangu, nawasalimu. Natumai mu wazima wa afya.

Naomba niwaulize wakuu zangu wanaJF...

Huwa naona humu mara nyingi sana watu wakiongea kuhusu "Lumumba Buku 7". Je, hii ni ajira rasmi?

If YES, recruitment yake ipoje? Required key qualifications ni zipi?

Nimekuwa selected for Admission kwenye Chuo, ila nimekosa mkopo wa Heslb. Na nipo jobless. Ndiyo nikakuna kichwa na kupata wazo... nikaikumbuka hii 'Lumumba Buku 7'. Kama kweli ni ajira rasmi ya CCM, basi mie najitosa huko wakuu. Nikizimeki hizo buku 7 on 'strictly saving' basis... after a year navunja kibubu and surely nitakuwa na kitita cha kwenda chuo chikuu kubukua.

Kitaani kunazidi kuwa kugumu. Watu tunapumulia pua moja. It is now a time to embark on plan B. Maanake tusije mwishoe tukaanza kupiga watu ngeta na kuvizia hand bags za wadada mtaani.

Intention to join 'Lumumba Buku 7'... my plan B.

With due respect... I humbly submit.

-Kaveli-
Hii ajira sasa hivi imechukua sura mpya.....Chawa Pro
 
Wadau kwa muda nilipokuwa nikitumia jf as a guest nimekuwa nikiona hili neno la Lumumba buku 7.Sasa sijalielewa wanamaana gani wakisema Lumumba buku 7.Lumumba ni makao makuu ya CCM na buku 7 ni elfu saba.Sasa vinahusianaje hivi vitu viwili??Naomba kuwasilisha
😆😆😆
 
Wakubwa zangu, nawasalimu. Natumai mu wazima wa afya.

Naomba niwaulize wakuu zangu wanaJF...

Huwa naona humu mara nyingi sana watu wakiongea kuhusu "Lumumba Buku 7". Je, hii ni ajira rasmi?

If YES, recruitment yake ipoje? Required key qualifications ni zipi?

Nimekuwa selected for Admission kwenye Chuo, ila nimekosa mkopo wa Heslb. Na nipo jobless. Ndiyo nikakuna kichwa na kupata wazo... nikaikumbuka hii 'Lumumba Buku 7'. Kama kweli ni ajira rasmi ya CCM, basi mie najitosa huko wakuu. Nikizimeki hizo buku 7 on 'strictly saving' basis... after a year navunja kibubu and surely nitakuwa na kitita cha kwenda chuo chikuu kubukua.

Kitaani kunazidi kuwa kugumu. Watu tunapumulia pua moja. It is now a time to embark on plan B. Maanake tusije mwishoe tukaanza kupiga watu ngeta na kuvizia hand bags za wadada mtaani.

Intention to join 'Lumumba Buku 7'... my plan B.

With due respect... I humbly submit.

-Kaveli-
Unatakiwa kuwa chawa mnafiki kweli kweli sio mchezo.
 
Back
Top Bottom