Recent content by cyprian6

  1. cyprian6

    Hivi ni kweli kwamba wanaume wengi wanapenda wanawake weupe?

    mimi napenda weupe lakini nikifikiria akiwa mzee ndo nachoka
  2. cyprian6

    Nataka kumsaliti mume wangu

    tatizo ni hizo pin
  3. cyprian6

    Nimenunua gari kaniacha

    tatizo ni yeye
  4. cyprian6

    Baada ya kuzama chumvini kaanza kutapika, kuharisha, yupo hospital

    Mim nnachojiuliza alipoenda hospital akaulizwa alikula nini, alijibu nin?? Ha ha ha
  5. cyprian6

    Baada ya kuzama chumvini kaanza kutapika, kuharisha, yupo hospital

    Ha ha ha watu hawaelewi tu..chumvini kna madhara sana ndio knachosababisha cancer ya shingo sio koo kwa wanaume ulaya wanataka kupitisha sheria ile kinga ya cancer ya kizazi ambayo wanapewa wanawake na wanaume wataanza kupewa ila kuepusha cancer ya koo wale virus wanao sababisha cancer ya kizazi...
  6. cyprian6

    Mkuu MziziMkavu Akiwajibika....!!!!

    Mkuu sio bangala hiyo
  7. cyprian6

    Mchana wa leo nime-enjoy sanaaaa...

    Hahaha ngoja upate tauni
  8. cyprian6

    Msaada wa sheria ya Code of Good Practice

    Habari, naombeni English version ya code of good practice Gn 42,2007 please nakaribia kufanya mtihani sijaipata google
  9. cyprian6

    Yaani siku hizi ukigusa tu, unapewa bila hiyana...

    Tulia ww kupigwa kibuti ni noma
  10. cyprian6

    Kwa nini wanaume wanawakimbia wanawake walio na mafanikio kiuchumi?

    Mim natafuta wa kuoa kama hao sitaki watu wasio na muelekeo wa maisha
  11. cyprian6

    Mabinti wa kikorea ni warembo na wazuri sana kuliko viumbe vyote( mtazamo wangu)

    Inashangaza kuona shinji kagawa yupo single
Back
Top Bottom