Mchana wa leo nime-enjoy sanaaaa...

Mchana wa leo nime-enjoy sanaaaa...

Hivi dada, ukipika panya unamchuna kama mbuzi ama wamnyonyoa kama kuku?

Unambanika,anapukutika hayo mavinyweleo yake kisha unampasua kumtoa mautumbo.Unamkata kichwa na viganja vya mikono na miguu na kisha unamuosha na kumuunga na nazi au ukitaka unakula wa kubanika pia.YUMMY.

"Nlikuwepo":bolt:
 
View attachment 122826
Chamaki nchanga na mboga za majani kwa mbali,yummy....

"Nlikuwepo":bolt:

Acha usanii wa CCM mkuu. Nilikaa MT kwa muda wa miezi mitatu na kushuhudia samaki nchanga walivyo na wanavyoliwa. Kwa bahati mbaya kwa pale mjini hakuna kitu kama hiki ila vijijini na si kila sehemu, kuna sehemu zake. Kikubwa zaidi, samaki nchanga anakuwa kababuliwa huyu wako hajababuliwa yaani kama vile umemuokota chumbani kwako baada ya kula sumu na kumuweka kwenye sahani ili udanganye watu. Mwisho huyu samaki wako ni samaki buku ama samaki wale wa ndani, kule MT wanakula samaki nchanga wa porini ambao ni wadogo kimaumbile si kama huyu wa bongo movie a.k.a. ki-CCM (kisanii), na kama kweli ungemla huyu leo hii wala usingepata muda wa kuja hapa kutuambia hivyo kwani ungekuwa aidha Muhimbili au ulishakufa tayari baada ya kula sumu uliyompa huyu msanii mwenzako.
 
Hahaaa,sure...

"Nlikuwepo":bolt:
 
huyu ni anatolewa utumbo na macho na kucha anachemshwa na chumvi na tangawizi kama nusu saa,hii yote ni baada ya kuunguza manyoya kwa moto
 
Hahaha hapa farkhina lazma atapike lol. Sasa ukimbanika na mautumbo ndani si ndo atachina kabisa?
Unambanika,anapukutika hayo mavinyweleo yake kisha unampasua kumtoa mautumbo.Unamkata kichwa na viganja vya mikono na miguu na kisha unamuosha na kumuunga na nazi au ukitaka unakula wa kubanika pia.YUMMY.

"Nlikuwepo":bolt:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom