Recent content by Cynic

  1. Cynic

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Uhakiki wa Watumishi wa Umma Mbogwe

    ... unasahau kwamba kuna yule binadamu ambaye hajaribiwi?
  2. Cynic

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya yaua Ubungo njia panda

    Rip. Matatizo ya kukariri & kufanya kazi kama robots za zamani. Gari hizo zina breaks ... kwa nini zisitumike?
  3. Cynic

    JamiiForums Tanzania Serikali inatumia fedha nyingi kupambana na wapinzani kisha inaomba kuchangiwa madawati na maafa?

    tule tu Mig-21 tunatafuna $4,500 per flight hour. Sasa fikiria ndege kadhaa zilirushwa Dar, Mwanza? Mbeya? Arusha? kwa siku kadhaa !
  4. Cynic

    JamiiForums Tanzania Diaspora mmechangisha kiasi gani?

    Huu ni uchonganishi ambao ni uchochezi ...
  5. Cynic

    JamiiForums Tanzania Rais wetu yuko wapi tena? Kagera hayuko Zambia hajaenda

    .. kwa utetezi huu finyu, basi angeweza vilevile kuratibu akiwa Lusaka
  6. Cynic

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Serikali yatoa kauli kuhusu tetemeko la ardhi Kagera

    #Serikali naona imesahau kuwashukuru/acknowledge juhudi zilizofanywa na 'first responders' na misaada kutoka wadau mbali mbali (.. ikiwa ni pamoja Serikali ya Kenya)
  7. Cynic

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Isuzu Big Horn

    you must be a loser
  8. Cynic

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani sugu uliyokuwa ukiifanya utotoni?

    kuwabatiza watu majina ya bandia/nick names.
  9. Cynic

    JamiiForums Tanzania Lawama hizi zaelekezwa kwa serikali kuhusu tetemeko.

    Haya mawili yameifanya serikali yetu ionekane kwamba ipo ipo tu. Wanatia mkazo mkubwa kwenye mambo yasiyo na umuhimu kama ukuta na Shein kunyimwa mkono.
  10. Cynic

    JamiiForums Tanzania Mahojiano bora ya mheshimiwa Rais Magufuli yaliyonifanya nimuelewe

    Na wewe naona kama vile kurudia rudia kumekutoa ufahamu?
  11. Cynic

    JamiiForums Tanzania Mpinga njoo hapa Shekilango Total uone wanavyogawiana shekeli

    malalamishi kutoka kwa wananchi ya kila namna yameongezeka sana siku za karibuni ... nchi inaelekea kusiko.
  12. Cynic

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Bukoba: Rais aahirisha kwenda Zambia, kuwakilishwa na Makamu wa Rais

    ... swali liko pale pale, alikuwa wapi & anafanya nini jana na leo?
  13. Cynic

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Hillary Clinton ni mgonjwa kweli

    Trump & GOP must be liking this ..
  14. Cynic

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Dah ... Terry & ivanovic wamebadilisha fani ... wamekuwa waigizaji wa comedy?
  15. Cynic

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, "Sema Neno Moja Tuu, na Roho Zetu Zitapona!"

    huyu ndiyo zake. no-show ktk mazishi ya Jumbe, Mawazo, mikutano ya AU, TICAD, SADC, n.k. Inabidi tuzoee tu kwamba kuna umbwe ...
Back
Top Bottom