Spare expensive kulinganisha na gari aina gani?. Nadhani kwa volume ya gari na body shape tulinganishe na Toyota Prado. Wengine wanaiita mayai. Yaani model: Kzj 95 yenye injini ya 1KZ. Performance wise, durability, na stability huwezi linganisha na Isuzu bighorn, hasa new model yenye injini 4jx1. Toyota Prado zimeanguka sana kutokana na muundo wake wa suspension system. Ina coil springs mbele na nyuma. So barabarani at high speed it tends to sway kutokana na kunesa nesa kwa coil springs.
Tatizo ni kwamba watu wengi wamezoea Toyota Prado kwa kufuata trade mark ya Toyota. Ila kwa wale ambao tumeendesha Isuzu bighorn kwa muda mrefu tutakwambia kuwa in comparison of these two vehicles, Isuzu bighorn is good. Na kwa sasa watu wengi wameanza kuzielewa na kuzinunua. More over bei yake for off road and 4x 4 vehicle iko poa compared to Toyota Prado, kxj 95.
Ukihitaji ushauri niko tayari kusaidia. Cse nimekaa na Isuzu bighorn mwaka wa 6 sasa. And the vehicle is still running greatly.