Naomba msaada kwa wataalamu wetu wa afya, hivi ni kweli haya mafuta ya ubuyu yanasaidia kuponyesha ulcers na pia yanasaidia kupunguza weight???? nashindwa kuelewa kwa sababu iweje mafuta yasaidie kupunguza mafuta myenzie mwilini??????Nisaidieni jamani maana nina Ulcers na ni mnene pia.
Siri ya mtungi aijuaye kata.....Hata tukijadili vipi ukweli wanaujua madaktari na serikali tuwaacheni wapambane wenyenwe at the end of time ukweli utajitenga toka kwa uongo.
Kwa mara ya kwanza tangu chuo hiki kianzishwe amepatikana raisi toka diploma mwaka wa kwanza ambaye amejinyakulia kura nyingi toka kwa diploma wenzake na kuwabwaga wagombea wenza wawili wanaotoka bachelor degree second year....
Hivi nyie sina mna vizazi?? Zaeni na nyie muone utamu na uchungu wa kulea, tena ukute mmezaa mashoga sasa sijui tuwalaumu au? Kwa umaskini tulionao bongo mtoto anaigiza analipwa nimkataze ili tulale njaa au? La msingi ni kumfundisha na kumkanya asipofata ushauri basi unamuombea na kubaki kuumia...
Baada ya bunge mheshimiwa mbowe amesema kambi inahamia mwanza kwenda kuandamana hadi waliohusika na kuwapiga mapanga wabunge wa chadema wapelekwe mbele ya sheria....
Lema hayupo, Mnyika kaongelea kuhusu katiba mpya, Mlacha wa Udom naye kaumbuliwa leo chadema inataka ripoti ya CAG KUHUSUmatumizi na mapato ya udom la sivyo wataiweka wazi maana wanayo tayari.... Saivi tunapewa habari juu ya wabunge wa chadema jinsi walivyopigwa mapanga na waliomba msaada toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.