Kama hujaoa au kuolewa embu click hapa kuna jambo linakuhusu; very urgent!!!!

The Only Kilo

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
352
83
Hivi kama ulishazoea kutembeq na mikitu mitamu mitamu utaweza kweli kummvumilia mwenzi wako wa maishani.....yaani baba nanii na mama nanii wajao...utaweza nakuuliza wewe ambaye unampendaga yule nanii kwa sababu ana fupi kesho unamkuta baba nanii ana ndefu...... Na wewe nanii unayempendaga nanii kwa sababu ana anajua kushiriki 100% kesho anakuja mama nanii anakuachia ushiriki wewe tu maana yeye amechoka kimtindo.....
 
Hapo ndoa ikushinde kama unataka parfect thing!

Kumbuka watu hawafanani kama utalijua hili hautojali ukikuta mambo tofauti!
 
Ndoa ni sex? Au Sex ni sehemu ya ndoa?..me naona kama hujui maana ya ndoa usioe fanya sex hadi 2kuzike
 
the sole purpose of marriage is intimacy fortunately or unfortunately sex is the ultimate expression of intimacy
 
Nashukuru King Kong III kwa msitari mmoja lakini uliobeba mengi. Kuongezea, vifanyio ni muhimu katika tendo lakini havi-define ni kwa namna gani mtu atafurahia au kutokufurahia tendo lenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Hivi kama ulishazoea kutembeq na mikitu mitamu mitamu utaweza kweli kummvumilia mwenzi wako wa maishani.....yaani baba nanii na mama nanii wajao...utaweza nakuuliza wewe ambaye unampendaga yule nanii kwa sababu ana fupi kesho unamkuta baba nanii ana ndefu...... Na wewe nanii unayempendaga nanii kwa sababu ana anajua kushiriki 100% kesho anakuja mama nanii anakuachia ushiriki wewe tu maana yeye amechoka kimtindo.....

Unafikiri kuna atakaekuwaq mkamilifu? Tatizo ligeuze liwe changamoto. Hupendi kutoka mshindi katika changamoto?
 
kama unaoa upate sex tu lazima ndoa ikushinde.:sleepy:
Tusidanganyane equation ya marriage iko hivi If SEX=NO or POOR then MARRIAGE = NO OR INCOMPLETE.
Uzoefu ninao na ni ruksa kuuliza why? Kwa ufupi ndoa bila sex ni sawa na chemchem iliyokauka"

Nina 10+ years kwenye marriage naelewa ninachosema!!!
 
  1. Mimi nasema hivi nyie mnaosema sex sio muhimu, kama uko kwenye ndoa mkatalie mpenzi wako kwa muda wa wiki1 au wiki 2 kwa kisingizio chochote kama hiyo ndoa itafika mwezi utanipa feedback. Sex is the engine for ndoa Bwana mtu asikudanganye. Hawa nahisi hawajajua utamu na raha yake Ok. ngoja mi ninyamaze nisije nkaonekana nachonga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom