Recent content by curiousE

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Uongozi wa Bunge yakutana Kwa Dharura

    Hovyooooooo!!!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Poa tu kila anayehusika Abebe msalaba wake Kama mbwai na iwe mbwai hakuna!!
  3. C

    JamiiForums Tanzania Maaskofu wengine wangekuwa kama Gwajima nchi hii ingepona

    Sijawahi kuwa disappointed na maaskofu/mapadre wa RC Kama kipindi hiki Yani Hawa walikuwa na kidomodomo sana sasahivi kimyaaaa [emoji35][emoji35][emoji35]
  4. C

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia hotel ya Blue Pearl na kumkamata Mkurugenzi wa (THRDC) Onesmo Olengurumwa

    Wanashindwa kudili na mapapa wanabaki kuonea vidagaa upuuzi mtupu
  5. C

    JamiiForums Tanzania Marekani yapiga marufuku dhifa ya futari katika wizara ya kigeni

    Umeambiwa Toka 1999 Obama alikuwa rais kwa muda wote huo [emoji849]
  6. C

    JamiiForums Tanzania Polepole: Walitaka kumhonga Rais Magufuli Sh. Bilioni 300 ili asifanyie kazi taarifa ya mchanga

    Huu ni uongo usio na kipimo!! Ninavyomjua rais wetu angechukua hela akaiweka kwenye ujenzi wa reli na wahusika angewatia ndani
  7. C

    JamiiForums Tanzania Live on Star TV: Je, Daudi Bashite atajibu maswali haya?

    Eti hakupewa time wakati kapitia mlango wa nyuma kakimbia nyambaf [emoji57][emoji57][emoji57]
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

    Mbona Makonda yeye he is good at doing that kwani yeye akifanyiwa kuna ubaya gani hebu tupisheni!! Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Je ni anguko la jukwaa la wahariri wa habari?

    Kwa aliyoyafanya Bashite wana haki ya kumsusa wakimuendekeza basi wajiandae kunyanyaswa hivyo kila siku halafu mbona Mabaya yake bado yanatolewa tu Ila hapewi kiki kwa lolote linaloonekana jema waendelee hivihivi.
  10. C

    JamiiForums Tanzania RC Mrisho Gambo: Serikali itaendelea kuwadhibiti wote watakaotaka kuingiza siasa kwenye majanga

    Yaani huko mbeleni mkipata rambirambi mtatuambia kagera watu walidhami ni bahati mbaya sasahivi wamehakikisha mmedhamiria!! Lesson learned!!
  11. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CONCERN: Why are all car manufacturers setting up shop in Kenya? Iko wapi Tanzania ya viwanda?

    Tanzania hatueleweki Nani atakuja kuwekaza hapa mkulu anabadilika kama kinyonga!!
  12. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli mpandishe cheo askari wetu kwa Ushujaa wake

    Both Malima na polisi wamekosea!! Malima alitakiwa kutii sheria na polisi hakutakiwa kuwa na jazba vile hakuhitaji hata kupiga risasi hewani.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall

    That's the fact!! Ameongea ukweli Kabisa hajapindisha!! Wewe mleta mada lazima ni mgeni nchini!!
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ndoto ya Tanzania kuwa donor country imefikia wapi?

    Taifa la kuongozwa na wa kujua kusoma na kuandika yaani usitegemee hizo ndoto kukamilika!!
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

    Huyo mchafu aiseee anarundikaje chuki chafu eeeeew!!!!
Back
Top Bottom