Recent content by Cumudia

  1. Cumudia

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Natafuta wine filter kuna mtu anayo kwasasa haitumii?
  2. Cumudia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heartbreak 💔

    😂😂😂
  3. Cumudia

    JamiiForums Tanzania Serikali imewasimamisha kazi wasimamizi wa Mizani kutoka Tunduma, mkoani Songwe hadi Vigwaza

    Hapo watumishi walio husika wanapishana vilingeni kutetea ugali wao, watachoma sana ubani na kupasua nazi njia panda ili wabakie kazini, usifanye mchezo kukaa benchi, benchi linalostisha,benchi linachakaza. hali imeshakuwa tete, tamaa haijawahi kumuacha mtu salama 🤣🤣
  4. Cumudia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kujiuliza kwanini wanaume wenye tabia njema katika Jamii huteswa na mapenzi?

    😂😂😂
  5. Cumudia

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa mimi kuhusu kuwepo Marekani

    Nilipata kazi Aberdeen Scotland ya kulea wazee 😂😂 mpaka interview walinifanyia na wakaniofa accomodations, wakaniombea na Visa ubalozini ya miaka 3 mwisho wa siku nikaigomea nilihisi hii kazi sio rahisi kuchezea chezea makalio ya wazee wa kizungu sio rahisi.
  6. Cumudia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali kwa wanandoa

    Ndoa miaka mitatu ya mwanzo ukiweza toboa ile hali ya kukinai basi utaenda nae vizuri, kipengele ni baada ya kuzaa mtoto wa pili,wanawake wengi hubadilika na wengi mvuto upungua ukiweza kuikubali hali ya mabadiliko yake basi unaweza toboa kuishi nae kwa upendo kwasababu wengi hata kujiamini...
  7. Cumudia

    JamiiForums Tanzania Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

    Mungu ana siri kubwa, njia zake Mungu hazichunguziki kamwe, kuhusu mustakabali wa binadamu humpa amtakaye humnyima yeyote. Wangapi wametulia hawana ndoa, wangapi wahuni wana ndoa?!! Ndoa ni mapenzi ya Mungu akikupangia hata binti awe anajiuza barabarani ataolewa tu hata akiwa hoyahoya atampata...
  8. Cumudia

    JamiiForums Tanzania Kipindi Cha "WATUBAKI" Cha Dstv Kijirekebishe Waache kutumia Lugha zenye Maudhui ya Kingono na Matusi

    Hivi hawa watu baki wanafanyia events zao wapi? Niliambiwa maeneo ya Sam nujoma road lakini sijui jengo lipi?!
  9. Cumudia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

    Ila wanawake wana mbinu kali za uchunguzi [emoji23][emoji23]
  10. Cumudia

    JamiiForums Tanzania Mbinu Aliyotumia STEVE Kutikisa Soko La Viatu Duniani!

    Umenifurahisha sana, kumbe I did it bila kujua kama ni natural selection [emoji23][emoji23]
  11. Cumudia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuliowahi kutongoza wake za watu halafu wanatuzidi umri na kukubaliwa, tukutane hapa

    Hahahaha! unaweza fumania ukabakia kutetemeka kama kuku mwenye kideli usiamini macho yako [emoji23][emoji23]
  12. Cumudia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuonea sana huruma Mwanaume mwezangu anaelipishwa pesa za matunzo ya mtoto asie wake, kuna wanawake moja kwa moja motoni

    Nacheka kama mazuri haya mambo haya ila unajua nini ukiwa na mwanamke mjanja mjanja kaa nae kininja ninja pia, "almanusra yanikute hayo kwenye mahusiano", aliposema ana mimba nikamwambia sikia wewe hapa penzi tu kama mimba sihusiki, kwani sijui kama uko na huyu nilimuonyesha picha ya mshkaji...
  13. Cumudia

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Dodoma jiji kuhusu mnada wa nyama msalato

    Mazingira ni rough sana hakuna mpangilio yaani tafrani.
  14. Cumudia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ukioa ndio mishe zako zinafunguka?

    Kama unaoa mwanamke ambaye ameridhia 100% nafsini kufanya maisha na wewe bila kuwa na nia mbili na akiweka maombi kwa Mungu kuhusu familia yake mambo yatafunguka, kwasababu baraka haziendi kwenye nyumba isiyo na upendo hata siku moja.
  15. Cumudia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimuonya akakana katu, leo kajikamatisha mwenyewe

    1. Advice for young man: "Don't get attached to any girl. She has more options than you. Your only option is building the best version of yourself" Vijana zingatieni kazi au biashara zenu kwanza, kipaumbele cha mwanaume ni maendeleo kwanza wekeza akili kwenye maendeleo...kwa ajili ya kesho...
Back
Top Bottom