Heartbreak 💔

Heartbreak 💔

Wanawake na entitlement ni kulwa na doto., kwaiyo jamaa anasurvive kupitia nyota yako 😀😀😀😀
 
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.

Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.

Offline till further notice 💔💔💔.

Nb;mm ni mganga so nimejua aache vyupi na nguo zangu
Umeshapigwa tukio mpenzi wangu, nilishakwambia njoo kwangu tutumie nyota zetu wote hutaki. Ona sasa inatumika yako pekee mwenzio yake kaweka AKIBA. 🤣 Siku akitoka hapo anaenda kutumia akiba yake ya kwako inakuwa imeisha😎😎😎

Lakini mbona nyota zipo nyingi tu angani, kwanini mgombanie nyota moja. 😎😎😎😎
 
Acha kunishobokea we shoga kila uzi unanitajataja, mishangazi mama zako na dada zako, ukinitag uwe na cha maana cha kuniambia mpumbavu wewe 🚮🚮
😂😂😂
 
Just imagine husband wako ana survive kupitia nyota yako alafu anakutesa ndani kila siku vipigo, for eg Ata ukipata kazi mshahara wote kwisha.

Lol kaa mbali na iyo ng'ombe afu 50/50 my dear future husband kwakweli be responsible lol! Ukitaka msaada ntatoa in anyway possible.

Offline till further notice 💔💔💔.

Nb;mm ni mganga so nimejua aache vyupi na nguo zangu
Uko poa lakini, naamini umepoa sasa
 
Huyo ni mwanaume dhaifu sana na ana dosari nyingi mno,ni lazima ajirekebishe kama anataka kuishi kwa furaha duniani
 
Back
Top Bottom