Recent content by Cul Naf

  1. C

    JamiiForums Tanzania Minerva Oil & Gas Company ni genuine au matapeli

    Nilikuta tangazo website ya zoomtanzania nimeapply,jamaa wamenitumia maswali yao nimejibu na jana wamenitumia mkataba. Je kuna ukweli wowote au ni matapeli tu naomba msaada tafadhali.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nimepata IV.32 masomo ya sayansi

    km umepass kwa alama gani hayo masomo ya sayansi na je umefikisha masomo 4?
  3. C

    JamiiForums Tanzania BSc. in Electronics

    Soko lake limechukuliwa na mtu mwenye bsc in electrical engineering anafanya anafanya kazi zote mf. elecronics,computer,It.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Verossa vs Brevis

    Brevis imesimama
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kumbe uchumi wote wa dunia umeshikwa na Israel?

    Raia wa Israel ni genius,mfano Mark(mmiliki wa facebook)
  6. C

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya kutisha sijui nimekuwaje

    Ughonile...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Haya hapa makosa ya habari ya kaburi la Balalli iliyoripotiwa na gazeti la Mwananchi Julai 12, 2014

    Gazeti la Mwananchi limekua la udaku siku hizi
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ukizingatia Hili, Huenda Tatizo Lako la Fungus Sugu Sehemu za Siri na Mba wa ngozi Likaisha Haraka!

    Unatumia kwa muda wa siku ngapi kupaka sehemu za siri hasa kwenye mapaja?
  9. C

    JamiiForums Tanzania Msama Group Company ni janga kabisa

    Msama ni mchumia tumbo km wengine tu
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wasanii waliofanya vizuri kwenye 'CHORUS & FEATURING' ila kwenye nyimbo zao wakachemsha

    Mansu Li,ditto,Nuruel.....
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mbeya na mambo yao

    Wanawake wengi ni wanafanyabiashara ya kuuza ndizi mbivu na parachichi ktk vituo vya mabasi hasa uyole huku wamebeba watoto wadogo mgongoni
  12. C

    JamiiForums Tanzania Mbeya na mambo yao

    Mbeya ukiwa mtu wa starehe ni rahisi kujulikana hata kama umefika mkoa huu ndani ya wiki kutokana kuwa na sehemu moja ya kula bata na zote ziko jirani.
Back
Top Bottom