Ndugu zangu wana jamii forum, kwa mtazamo wangu naona maswala ya kuwasema watumishi wa Mungu tunakuwa tumekosea. kama wewe uliyetoa maoni yako kuhusu Mama Rwakatare, Gwajima, Rusekelo,kakobe na wengineo naona hapo umekosea kama wewe ni mkiristo soma biblia kwanza inasema katika kitabu cha mathayo. inasema usitoe kibanzi ndani ya jicho la mwenzako wakati wewe umejaa boriti katika jicho lako. na maanisha ukimaliza kutoa madhaifu ya wenzako nakuomba utoe na ya kwako hili tukujadili. pia kumbuka mtoa hukumu ni Mungu tu. ubarikiwe. kuhusu misharaha kutolipwa wafanyakazi hiyo haimbariki Mungu kabisa hivyo mliotajwa jirekebisheni hili Mungu apewe utukufu. by FELIX