Nikatamani nikuulize, kusipokuwepo na jua na mwezi, Dunia inakua kiza tu au inakua na mwanga tu?
Kwa mujibu wa uumbaji, Mwanzo Mungu aliamuru NURU iwepo, na katenga Nuru (asubuhi) na giza (usiku), Ikawa Asubuhi, ikawa jioni....siku ya kwanza hadi ya nne.
Baadae Jua likaumbwa LITAWALE mchana na...