inawezekana hafanyi mapenzi mara kwa mara kwa hiyo inafikia hatua anakuwa na hamu sana na kuota njozi akifanya mapenzi hapa naongelea umbali kati yenu ni tatizo pili inawezekana kabisa hata ww humfikishi vizuri kwa hiyo hamu inakuwa kubwa na bahati mbaya hataki kukusaliti anazimalizia ndotoni...
sisi hatuhitaji porojo tunataka vitendo kuwa mwanasiasa hakuhitaji akili nyingi bali kipawa ulichopewa na mungu sasa kama ww ulikuwa vizuri au vibaya haituhusu huko uliko ndiko ulipotaka uwe na yy makonda aliko ndiko alikotaka kwenye maisha kuna mipango ya binadamu na kusudi la mungu so...
jambo la kwanza punguza idadi ya mechi kama ulikuwa unatandika mara 3 au 4 kwa mwezi fanya hata mara mbili au moja pili issue ya maji mkeo awe mjanja tu wadada wengi wanajua hii kitu namna ya kuizuia awaulize wenzake wanafanya nn tatu mm nakulaumu ww mkuu hii issue ya maji na jinsi unavyojisikia...
nchi hii hata angeshushwa malaika atawale angesurubiwa kama yesu maana watu wazima na akili zao wanaongea kama wako kwenye ngoma ya mchiriku
hili gazeti siku zake zinaweza kuwa zinahesabika
=====
wakurya sio wajinga wanawake kuoa waliona mbali ifikie hatua tuache kung'ang'ania kuajili mabaunsa na mabodigadi kutulinda umri ukishaenda sana akili zinakuwa za kitoto hata kuwaza tunawaza kama watoto wadogo ifikie hatua tuajili washauli watusaidie baadhi ya mambo.
ukiona simu yako imezimwa leo fanya hivi mtafute bi mkubwa wako mkarishe chini ongea nae kwa ustaraabu wa hali ya juu akueleze kinagaubaga baba yako halisi ni nani inawezekana hata ww ni feki,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.