Wale wa Mwanza njooni hapa

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,348
1,803
Kwa wale mnaoishi mwanza, napenda kujua mambo yafuatayo.

Naweza kupata eneo kubwa la kununua atleast heka moja na nusu kwa ajili ya project ya ufugaji? Liwe mbali na makazi ya watu pia huduma ya maji na umeme iwepo( umeme sio lazima? Maji yawepo( muhimu)
Natanguliza shukrani wakuu
 
Kajaribu uone kama utapata maeneo upande huo..
Kwanza kuna tetesi kuwa ni eneo la viwanda kuanzia pale Nyashishi(darajani) kwenda huko usagara.
Ndo maana nkaleta huu uzi, kama kuna mtu yupo usagara na anauza eneo ajitokeze hapa
 
Nimesafiri na kurudi sitegemei kurudi hivi karibuni ila kuna jamaa yangu ana eneo kubwa sehemu za mahina karibu na kanisa la wasabato
 
Back
Top Bottom