Mpenzi wangu analiwa na jini, naomba msaada

Mpenzi wangu analiwa na jini, naomba msaada

habari wana jamii forum mimi ni kijana wa kiume nina mpenzi wangu anaesoma mbeya chuo fulani hivi tuna mahusiano ya muda wa miaka miwili hizi mimi nipo mkoani mtwara tatizo la mpenzi wangu huyu amenipigia simu na kuniambia kuwa huwa anakumbwa na tatizo la kufanya mapenzi na mtu asiye mjua wakati akiwa amelala anakuwa kama anaota anafanya mapenzi na akishuta anakuwa kama ametoka kweli kufanya mapenzi na mtu kwani anachoka sana miguu na kiuno kinamuuma na akijikagua sehemu za siri anakuta amemwagiwa manii kwenye sehemu zake za siri na tatizo limemwanza tangu alipojiunga na hicho chuo hilo tatizo limenichanganya sana ninaomba msaada sijui niachane nae tu kwani ninaweza kuletewa maradhi au akapata mimba anaomba msaada wenu kwani nimeshafikiria hadi kuachana nae

Popo bawa huyo
 
Ingekuwa mimi naachana nae kabisa,maana hamna kitu kama hicho mwanamke kuliwa na jinni,hayo ni mambo ya kufikirika tu,achana nae, wanawake wamejaa dumia nzima.
Mwanamke anatafuta sababu ya kuachana na jamaa
 
Liandalie fumanizi mkuu maana huyo dash si analijua muda wake, tafuta jamaa zako kama wa3 mlipige tigo mkuu
 
Km ni kweli mtafutie misk nyeupe kisha awe anajipaka sehemu zenye matundu kabla ya kulala na awe anasoma dua kabla ya kulala
 
Mwambie alale na kitabu cha Mungu hakuna atakayemsogelea kabisa.
 
AHAHAHHAA ANAKUANDALIA MAZINGIRA YA KUKUBALI MIMBA ALIYONAYO!
 
Kaa nae karibu na ikiwezekana lala nae kitanda kimoja uone kama hii hali itamtokea au la....

Hayo ni mambo ya kiroho zaidi amuombee mola wake au aje kupata huduma bora ambayo itamuondolea hilo tatizo ( ILLUMINATI ) naamini tatizo lake litaisha.

Heri ya mwaka mpya 2017 nawatakia......
Akithubutu kulala naye tu kitanda kimoja basi utelezi utahamia nyumani kwake
 
Akithubutu kulala naye tu kitanda kimoja basi utelezi utahamia nyumani kwake
[emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38]

Atahama nyumbani kwake...
Umenichekesha sana.

Anataka alale kitanda kimoja
ili amuone huyo jini anavyomla
Demu wake ili kijana apambane nae....

[emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
 
inawezekana hafanyi mapenzi mara kwa mara kwa hiyo inafikia hatua anakuwa na hamu sana na kuota njozi akifanya mapenzi hapa naongelea umbali kati yenu ni tatizo pili inawezekana kabisa hata ww humfikishi vizuri kwa hiyo hamu inakuwa kubwa na bahati mbaya hataki kukusaliti anazimalizia ndotoni tatu inawezekana anasumbuliwa na jini mahaba hayo ni mapepo mtafutie tiba
 
habari wana jamii forum mimi ni kijana wa kiume nina mpenzi wangu anaesoma mbeya chuo fulani hivi tuna mahusiano ya muda wa miaka miwili hizi mimi nipo mkoani mtwara tatizo la mpenzi wangu huyu amenipigia simu na kuniambia kuwa huwa anakumbwa na tatizo la kufanya mapenzi na mtu asiye mjua wakati akiwa amelala anakuwa kama anaota anafanya mapenzi na akishuta anakuwa kama ametoka kweli kufanya mapenzi na mtu kwani anachoka sana miguu na kiuno kinamuuma na akijikagua sehemu za siri anakuta amemwagiwa manii kwenye sehemu zake za siri na tatizo limemwanza tangu alipojiunga na hicho chuo hilo tatizo limenichanganya sana ninaomba msaada sijui niachane nae tu kwani ninaweza kuletewa maradhi au akapata mimba anaomba msaada wenu kwani nimeshafikiria hadi kuachana nae
Hiyo sio ishu kubwa . Ni suala la kiroho ambalo linatatulika kabisa. Mwambie mpz wako aende kwenye vikundi vya maombi wamuombee na hiyo hali haitarudi tena. Kuna pepo la hofu (ambalo kazi yake ndo hiyo kufanya mambo mabaya kupitia ndoto.
 
Niliwahi kuota kuwa nafanya mapenzi na msichana tangu naanza form 1 mpaka nikamaliza tatizo hili liliendelea kwa mda mrefu. Nilipo jaribu kuomba ushauri matakitari waliniambia kuwa ni hatua ya makuzi kwa kijana marafiki wakaniambia kuwa huwa ni jini mahaba ambaye anamuingia mtu ambaye hasa hajawahi kufanya mapenzi na mtu yeyote. Ukweli katika maisha yangu sijawahi kufanya mapenzi na msichana yeyote. ILINIBIDI NIENDE KWENYE MAOMBI WAKANIOMBEA MPAKA SASA TATIZO HILO HALIPO TENA.
Nakushauri mwambie aende kwenye maombi ndoto hizo zitaisha na wala jini hato tumia mwili wake tena.
 
Hakuna jini hapo. Anakazwa na mwanachuo mwenzie.
 
Kaa nae karibu na ikiwezekana lala nae kitanda kimoja uone kama hii hali itamtokea au la....

Hayo ni mambo ya kiroho zaidi amuombee mola wake au aje kupata huduma bora ambayo itamuondolea hilo tatizo ( ILLUMINATI ) naamini tatizo lake litaisha.

Heri ya mwaka mpya 2017 nawatakia......
mkuu unatka kumponza kijana wawatu sio bure ..huyo jini akitokea atawala wote viboga yeye mpka huyo demu wake
 
watu mnaroho ngumu mnooo aisee
yaani demu katoa chezo kwa watu weeee..nasasa anatoa chezo lwa jini lakini bado wamng'ang'ania...subiri uje kubakwa na jini mkuu
 
Back
Top Bottom